Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

Baraka21

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
1,262
Reaction score
3,184
Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika.

Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi kinatoa tu mwanga na mikwaruzo ya kuvunjika.
 
TV yangu imepasuka kioo ila kinatoa mwanga tu na michirizi ya kuvunjika ndio inaonekana. Pia haionyeshi.
Je, nitumie njia gani ili niweze kuplay audio tu kwa flash? Kioo hakisomi kinatoa mwanga tu.
 
Tafuta mahali penye TV kama hiyo na ukariri hatua za kufikia file kwa remote (Au tafuta tutorial youtube kama zipo). Ukijua hizo hatua, utakuwa unatumia remote kucheza mafaili yako bila kuona kwenye kioo.
 
Sawa mkuu nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…