Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!

- Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo kina dada.

- Yote tisa, kumi nilichokisikia jana; muimbaji anaimba Singeli yake kwa kutukana kabisa waziwazi tusi kubwa la kutaja kiungo cha wazazi wetu wa kike, ajabu watu walikuwa wanajimwaga tu na kuchekelea.

- Kwenye vigodoro vya kupatia mimba wanafunzi muziki ndio mtawala!
Tafuta hela uache makasiriko
 
Nchi yetu mambo ya kipuuzi na yakijinga jinga huwa ndiyo yanashangiliwa sana.......
 
Tafuta hela uache makasiriko
Kwahiyo great thinker umeona nimekasirika hapo?!!!!

Kwamba ukiwa na hela kubong'oa kwa vijana wako wa kiume sio tatizo?!!!

Kwa mentality hii, we kama una hela (kitu ambacho sidhani) basi vijana wa bodaboda washaweka kambi hapo nyumbani kwako......kambi ya maana tu.

Tuombe Mungu kuwa hiyo kauli umeimeza tu!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

PERCEPTIONS
Kuna kazi na kuna mziki afu Dar es Salaam jaribu kuchanganua ayo mambo professor
 
Unakuta mtoa mada anazikubali nyimbo za wale jamaa wanaotaja Pu##sy**!%@ kila mahali.Rickross aliwahi kuimba "Money long as my Dic@$@% head" .
 
Waswahili wana mambo ya hovyo sana..ndio mana tabia za kishoga na kuinamishana zimeanzia pwani.

Sema singeli ina amsha amsha...ikipigwa huwezi kaa chini lazima unyanyuke ukaserebuke.

#MaendeleoHayanaChama
Mjinga tu ndio itakae muamsha
 
Mambo ya hovyo ndio tunayopenda Watz mimi nilidhani huu mziki hautotoboa hata mwaka nashangaa sasa unazidi kuimarika
 
Sijawahi kuona mziki wa hovyo kama Singeli hapa Tanzania

Sijui serikali inasubiri nini kuuchukulia hatua huu mziki

Unafaa kupigwa marufuku maana unafifisha maadili ya jamii, kupromote matendo maovu,kinyume na maumbile na ushoga na kila aina ya uchafu

Mziki huu unatumika kueneza maadili machafu kutokea huko maeneo yaliyoshindikana yaani Temeke to Tanzania nzima

Singeli zinaharibu hadi watoto wadogo ni ajabu sana.....
 
Mziki sio mbaya shida aina ya uchezaji ni mbaya sana haufai.
 
Serikali ifanye namna kwa kweli kwani mie naonaga hazifai kabisa si mashairi wala upande wa uchezaji kwani ndo unaharibu sana watoto wadogo.

Yaani labda ndo kuna shughuli halafu ndo wameeka hizo nyimbo basi unakuta katoto ka kike kamelala chini kanatetemesha mak*lio saa ingine kanachezesha moja moja hadi unajiuliza nini hiki.

Na saa hiyo mzazi yupo lakini hajali wala nini.
 
wanaziimba ni watoto walioshindikana pata picha wanapotokea kama keko bondeni,mbagara kwa panya road,temeke,buza,yombo,manzese na tandale alafu mzamini aliyewajaza ujinga EFM
 
Back
Top Bottom