Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Tulifanya mwaka fulani sherehe ya kifamilia! Kuna muda wakaweka hiyo singeli! Dah! Watu wazima ilitulazimu kuangalia pembeni.

Maana kiukweli maadili yalikiukwa.
Lazima uangalie pembeni ukiwa na unaowaheshimu!
 
"Hiii hiii nikuogopeee eeti nisibambie nikuogope wewee
Hiii hiii akuogopeee eeti asicheze chura akuogope wewee"

Shika chini we dada usiangalie sura tikisa moja moja sijaona ukicheza chura twendeee X2

Hiii hiii nikuogopeee haunilishi haunivishi nikuogopeee wewee
Hiii hiii nikuogopeee sikujui hunijui nikuogopeee wewee

Sina fagio fagio langu la chuma kwanza hatuendani mi mzigua sijui mwenzangu "we nanii"

Sina fagio fagio langu la chuma kwanza hatuendani mi mmakonde sijui mwenzangu "we nanii"

"Jaman ule mchezo wa kususiana sijaona ukisusa hiloooo[emoji527], amekupa amekususia"X2[emoji16][emoji16]

Acha kabisa mkuu likichanganya kuna vibe lake [emoji16][emoji16]
😂😂😂
Yaani dah!
 
Humo kwenye huo mziki utakuta kijana wa kiume anabana makalio Kisha anayatingisha mbele ya wavulana wenziee
Mungine vijana wenziee wanamwagia maji makalioni Kisha kijana anaanza kunengua kama kabint flan hivi kwa vivulana vyenzie
Ni aina ya mziki wa kipuuuuzi kabisaaa
Na hiyo hali inazidi kuongezeka kila leo katika video zao
 
Mziki wa laaana
 

Attachments

  • Screenshot_20220823_095810.jpg
    Screenshot_20220823_095810.jpg
    64.1 KB · Views: 10
Nadhani tatizo haliko kwenye aina ya mziki, liko kwenye aina ya wasanii tulionao na maudhui wanayochagua kuyaimba.

Tofauti na miziki ya dini, naomba kama kuna yeyote mwenye ujasiri wa kutaja aina ya mziki ambao hauwezekani kuimbwa matusi au hamasa mbaya atutajie.
Tatizo la kwenye singeli ni kuwa matusi yako wai zaidi na katika kila nyimbo.......kama si maneno basi uchezaji wote ni wa kingono ngonono tu.
 
Huu mziki Mtwara, Tanga, Lindi, na hata Zanzibar haupo, huu mziki umeanzishwa na wahuni wa Dar, bila kujali asili zao.

Na umeanza miaka ya tisini hapa, Zamani Mziki wa mwambao ni taarabu.

Ambayo nayo imefifia miaka ya 2000, hasa baada tu ya kuanzishwa hizi moden taarabu, Zilipokufa Wakazika taarabu yote.

Nikujulisheni tu mziki huu wa taarabu kuna kipindi ulitamba hasa.
Baadhi band za taarabu.
Bima taarabu
JKT Taarabu
Muungano Caltre taarabu, hawa pia walikua na maonesho ya vitu vya asili ikiwa kucheza na nyoka.
Eypition ya Burundi
T.O.T taarabu hata lile jina la T.O.T pale tabata limetokana na hii, CCM walikua na mradi wao pale, kama sikosei walikua wanaita SUKITA.
Na kulikua na bandi nyingi nyingine za taarabu.

Hata hivyo yote kwa yote, Ushoga umeongezeka miaka yenu hii, sasa ushoga siyo siri tena, hata mmeamua kuunda vyama vyenu, vijana mnavaa suruali Chupi nje, bila aibu.
Uchambuzi mzuri
 
Waarabu wamejaa Nzega, Igunga vipi wale wadakama wameharibika.

Waarabu wamejaa Shinyanga mjini, Tinde, Geita, Meatu,Bariadi, Kwimba, Magu, Maswa, Buseresere mpaka chato vipi wale wasukuma wameharibika.

Acha generalization za ajabu.

Ila wa kule kwenu ni wasukuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] ila wa huku pwani waarabu.

Acha double standard
Basi tunaomba wewe utuelezee theory yako ...ilikuwaje pwani ikapapatukia ushoga kuliko bara?

**ila kuhusu waarabu kupenda nyuma Wala sio Siri..kila mtu anajua (Labda kama hujawahi kuishi nao/ kuwa na marafiki waarabu)
 
Usinione kolo ninapewa mchanganyo….maana yake huo mchanganyo yaani ni mbele na nyuma
Ukiufuatilia sana, baada ya muda unajilia kwa mpalange bila kujiuliza mara mbili.......unaegemea huko zaidi.
 
Back
Top Bottom