Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Nadhani tatizo haliko kwenye aina ya mziki, liko kwenye aina ya wasanii tulionao na maudhui wanayochagua kuyaimba.

Tofauti na miziki ya dini, naomba kama kuna yeyote mwenye ujasiri wa kutaja aina ya mziki ambao hauwezekani kuimbwa matusi au hamasa mbaya atutajie.
 
Kwa nini Wazaramo?

Mswahili kwa tafsiri yako ni nani?

Uswahili ni nini?

Makabila yote yaliyopakana na bahari, kwa nini Wazaramo ndio wawe wameupokea ushoga na hawa Wandengereko, wadigo, Wanyagatwa, wabondei, wasegeju, wangindo, wamatumbi, wamwela, wamakonde wasiingie?

Kama chanzo ni waarabu, kwa nini Mataifa ya Ulaya na Marekani ndio wanaushikilia ushoga na kuusapoti? Na sio Saudi Arabia?

Au Kuna mzaramo amemfilimba mkeo au wewe mwenyewe sio kwa chuki hizi?
Tulia kijana waarabu walimaliza kazi huko kisiju wakasepa zao wakuwaachia misuli na viremba
 
Waarabu wamejaa Nzega, Igunga vipi wale wadakama wameharibika.

Waarabu wamejaa Shinyanga mjini, Tinde, Geita, Meatu,Bariadi, Kwimba, Magu, Maswa, Buseresere mpaka chato vipi wale wasukuma wameharibika.

Acha generalization za ajabu.

Ila wa kule kwenu ni wasukuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] ila wa huku pwani waarabu.

Acha double standard
Acha kuongea huku unabana pua mie sio mwarabu
 
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga
Ila kule kwenu wale waliopo wameacha kizazi Cha kijanja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Mshamba wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] a
 
- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!

- Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo kina dada.

- Yote tisa, kumi nilichokisikia jana; muimbaji anaimba Singeli yake kwa kutukana kabisa waziwazi tusi kubwa la kutaja kiungo cha wazazi wetu wa kike, ajabu watu walikuwa wanajimwaga tu na kuchekelea.

- Kwenye vigodoro vya kupatia mimba wanafunzi muziki ndio mtawala!
Kuna singeli zina mashairi yenye maudhui mazuri sana, yanayoelezea maisha ya Mtanzania halisi, usizihukumu zote kwa makosa ya chache.
 
Ila kule kwenu wale waliopo wameacha kizazi Cha kijanja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Mshamba wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] a
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
 
Hii ndo imefanya mleta uzi audiss huu mziki,kiufupi kakuta stutus ya mtu wake imewekwa hilo songi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekutana na ex wangu ,
Kakonda mbwa yule[emoji23]

Amefubaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Amepauka paupau[emoji23][emoji23]


Amekauka kaukau[emoji23][emoji23]

hatukutukutu hatukutaki umekondeana kama karatasi[emoji1435][emoji1435]
 
Huu ndiyo mziki wetu acheneni na amapiano tembeeni kwenye singeli hadi ifike hatua burna boy anaimba kwenye mdundo wa singeli kama alivyofanya remix ya yerusalem.

Nb: huo upuuzi wa madance wa kiume kutwerk singeli ni kweli aisee na ndiyo itaharibu huu mziki, watumie madansa wa kike hao jamaa wanachafua tu huo mziki
Tuna midundo mizuri tuu ya asili kama sindimba, sangura, lizombe and many more, ambazo zikiwa modified ziko poa tuu. Hii singeli zamani ilikuwa inaitwa mchiriku ambao nao ulikuwa matusi mwanzo mwisho na ilikuwa ngoma ya wezi. Yaani ikipigwa mtaani lazima muibiwe sanaa na vurugu. Yaani mchiriku ilikuwa bora hata mdundiko ulikuwa na staha... Nashangaa leo eti nao unaitwa muziki really?? Yaani wameua muziki wa dansi wanapromoti singeli daah..
 
hata Hip-hop ilipitia huko, mbona wasanii wakubwa Prof Jay, Harmonize wameimba singeli ktk lugha ya kistaarabu tu... Ni vile WaTz mnapenda kushobokea miziki ya nje na hamjui lolote... Ila cha ajabu singeli ikipigwa kwenye harusi na pub zenu mnasimama kucheza ila huku mtaani mnajifanya hamuupendi...
Labda huko huko Dar aisee siyo huku mikoani...
 
Back
Top Bottom