vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,151
- 2,896
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani huko ufuate nini? Hapa Tanzania hujawahi kusikia nyimbo kama : Kilio cha mtu mzima (Msondo), Heshima kwa mwanamke (Ngwasuma), nani kama mama (Christian Bella), Zeze (TID), Mtu pesa (Banza stone)..., zipo kibao tuuSijawahi kuona mziki wowote duniani wenye maneno mazuri labda kwaya za kikatoliki.
Ili uielewe singeli inabidi uwe umeishi uswahilini.
Huu mziki Mtwara, Tanga, Lindi, na hata Zanzibar haupo, huu mziki umeanzishwa na wahuni wa Dar, bila kujali asili zao.Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
Umewahi kuisikia Ali Mwinyi?Duniani huko ufuate nini? Hapa Tanzania hujawahi kusikia nyimbo kama : Kilio cha mtu mzima (Msondo), Heshima kwa mwanamke (Ngwasuma), nani kama mama (Christian Bella), Zeze (TID), Mtu pesa (Banza stone)..., zipo kibao tuu
Daaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya twende kama Ajib
Tik tak kama Ajib
Mkude babaa kama Ajib
We kichuya kama Ajib
Mtoto wa nje ya ndoaaaa....[emoji16]
Singeli ni mziki wa asili yetu, chukua mdundo imbia vitu vya maana achana na hayo matusi full stop.Tuna midundo mizuri tuu ya asili kama sindimba, sangura, lizombe and many more, ambazo zikiwa modified ziko poa tuu. Hii singeli zamani ilikuwa inaitwa mchiriku ambao nao ulikuwa matusi mwanzo mwisho na ilikuwa ngoma ya wezi. Yaani ikipigwa mtaani lazima muibiwe sanaa na vurugu. Yaani mchiriku ilikuwa bora hata mdundiko ulikuwa na staha... Nashangaa leo eti nao unaitwa muziki really?? Yaani wameua muziki wa dansi wanapromoti singeli daah..
Umeisimanga ccm kihalali hongeraHuu mziki Mtwara, Tanga, Lindi, na hata Zanzibar haupo, huu mziki umeanzishwa na wahuni wa Dar, bila kujali asili zao.
Na umeanza miaka ya tisini hapa, Zamani Mziki wa mwambao ni taarabu.
Ambayo nayo imefifia miaka ya 2000, hasa baada tu ya kuanzishwa hizi moden taarabu, Zilipokufa Wakazika taarabu yote.
Nikujulisheni tu mziki huu wa taarabu kuna kipindi ulitamba hasa.
Baadhi band za taarabu.
Bima taarabu
JKT Taarabu
Muungano Caltre taarabu, hawa pia walikua na maonesho ya vitu vya asili ikiwa kucheza na nyoka.
Eypition ya Burundi
T.O.T taarabu hata lile jina la T.O.T pale tabata limetokana na hii, CCM walikua na mradi wao pale, kama sikosei walikua wanaita SUKITA.
Na kulikua na bandi nyingi nyingine za taarabu.
Hata hivyo yote kwa yote, Ushoga umeongezeka miaka yenu hii, sasa ushoga siyo siri tena, hata mmeamua kuunda vyama vyenu, vijana mnavaa suruali Chupi nje, bila aibu.
Waarabu sio watu wazuri waliwaharibu vijana wa kisiju na kuwaacha wakivaa misuli na kufunga vilemba kama mademu wa tuNachojua unawasikia kazi wanavyofanya kule kwenu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sina uhakika wa tabia hizo kuanza huko, ila muelekeo wao kwa kupitia huu muziki hauko sawaWaswahili wana mambo ya hovyo sana..ndio mana tabia za kishoga na kuinamishana zimeanzia pwani.
Sema singeli ina amsha amsha...ikipigwa huwezi kaa chini lazima unyanyuke ukaserebuke.
#MaendeleoHayanaChama
Kabisa yaani.mziki wa kingese sana huo, mziki wa wahuni unaohamasisha wizi, matusi na ujingaujinga mwingine
Si kwa uburudishaji wa namna hii kiongoziDhima za fasihi kwa uchache
-kuelimisha
-kuburudisha
-kutunza na kuhifadhi amali za jamii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Juzi Nilikua sehemu ya heshima Sana,watu walikua wanacheki Mpira.Game ilipoisha tu muziki wa kwanza kupigwa ulikua singeli,nilimaliza bia yangu yote hapohapo na kuondoka zangu.
Sikutegemea sehemu Kama Ile kugekua upumbavu wa aina Ile.
🤣🤣🤣🤣🤣Wahuni...wahuuniiii, woteee mikononi juuuuuu....!!!
Hebu nionyeshe unavyochuma mchicha tembele ×2
Anainamaaa anainukaaa anainamaa anainukaaa×2
Wale warabu koko wa usukumani..hata majina walisha badili wanaitwa wakina ngwana nchambi n.k.Waarabu wamejaa Nzega, Igunga vipi wale wadakama wameharibika.
Waarabu wamejaa Shinyanga mjini, Tinde, Geita, Meatu,Bariadi, Kwimba, Magu, Maswa, Buseresere mpaka chato vipi wale wasukuma wameharibika.
Acha generalization za ajabu.
Ila wa kule kwenu ni wasukuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] ila wa huku pwani waarabu.
Acha double standard