Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 101
- 40
Tafuta hela uache makasiriko- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!
- Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo kina dada.
- Yote tisa, kumi nilichokisikia jana; muimbaji anaimba Singeli yake kwa kutukana kabisa waziwazi tusi kubwa la kutaja kiungo cha wazazi wetu wa kike, ajabu watu walikuwa wanajimwaga tu na kuchekelea.
- Kwenye vigodoro vya kupatia mimba wanafunzi muziki ndio mtawala!
Kwahiyo great thinker umeona nimekasirika hapo?!!!!Tafuta hela uache makasiriko
PERCEPTIONSKwahiyo great thinker umeona nimekasirika hapo?!!!!
Kwamba ukiwa na hela kubong'oa kwa vijana wako wa kiume sio tatizo?!!!
Kwa mentality hii, we kama una hela (kitu ambacho sidhani) basi vijana wa bodaboda washaweka kambi hapo nyumbani kwako......kambi ya maana tu.
Tuombe Mungu kuwa hiyo kauli umeimeza tu!
Mjinga tu ndio itakae muamshaWaswahili wana mambo ya hovyo sana..ndio mana tabia za kishoga na kuinamishana zimeanzia pwani.
Sema singeli ina amsha amsha...ikipigwa huwezi kaa chini lazima unyanyuke ukaserebuke.
#MaendeleoHayanaChama
Mziki sio mbaya shida aina ya uchezaji ni mbaya sana haufai.Sijawahi kuona mziki wa hovyo kama Singeli hapa Tanzania
Sijui serikali inasubiri nini kuuchukulia hatua huu mziki
Unafaa kupigwa marufuku maana unafifisha maadili ya jamii, kupromote matendo maovu,kinyume na maumbile na ushoga na kila aina ya uchafu
Mziki huu unatumika kueneza maadili machafu kutokea huko maeneo yaliyoshindikana yaani Temeke to Tanzania nzima
Singeli zinaharibu hadi watoto wadogo ni ajabu sana.....
Hata maneno ni ya hovyo,mambo ya kusema "hainaga ushemeji tunakulaga"inahamasisha nini,ndio maana huko mitaani hekaheka huwa ni kuchukuliana wake au mabwana,ni mambo ya kufumaniana tu.Mziki sio mbaya shida aina ya uchezaji ni mbaya sana haufai.