Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Serikali ifanye namna kwa kweli kwani mie naonaga hazifai kabisa si mashairi wala upande wa uchezaji kwani ndo unaharibu sana watoto wadogo.

Yaani labda ndo kuna shughuli halafu ndo wameeka hizo nyimbo basi unakuta katoto ka kike kamelala chini kanatetemesha mak*lio saa ingine kanachezesha moja moja hadi unajiuliza nini hiki.

Na saa hiyo mzazi yupo lakini hajali wala nini.
Kuna mama aliamia karibu na sehemu ilipokua biashara yangu mwanae kama miaka minne yan ikipita pikipiki tu yenye nyimbo hizo yule mtoto alikua analala chini anachezesha makalio. Mtihani kwa kweli. Na mbaya zaidi yule mtoto na umri ule ule alivuliwa nguo na kitoto cha miaka kama 9 kakamuingilia mpka damu zikamtoka mama yake alimnunulia panadol tu mchezo ukaisha
 
Kuna mama aliamia karibu na sehemu ilipokua biashara yangu mwanae kama miaka minne yan ikipita pikipiki tu yenye nyimbo hizo yule mtoto alikua analala chini anachezesha makalio. Mtihani kwa kweli. Na mbaya zaidi yule mtoto na umri ule ule alivuliwa nguo na kitoto cha miaka kama 9 kakamuingilia mpka damu zikamtoka mama yake alimnunulia panadol tu mchezo ukaisha
Umeona sasa na hayo ndo huwa ni matokeo.

Ila M'Mungu atunusuru kwa kweli.
 
Umeona sasa na hayo ndo huwa ni matokeo.

Ila M'Mungu atunusuru kwa kweli.
Ameen, ni mtihan sana yan yule mtoto jirani kulikua na sehem ya kuchomelea wale machomeleaji walikua wanamsikitia tu yule mtoto na kuwaza akikua atakuaje maana mama mtu nae mtihan akienda kunywa pombe usiku anaenda na mwanae
 
MZIKI MNENE tumefika Sumbawanga, kesho tunakichafua pale uwanja wa NDUWA….. ni Bega kwa Bega.
 
Nashangaa watoto wa kiume kukata viuno Tena kwa madoido..loh!!
 
- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!

- Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo kina dada.

- Yote tisa, kumi nilichokisikia jana; muimbaji anaimba Singeli yake kwa kutukana kabisa waziwazi tusi kubwa la kutaja kiungo cha wazazi wetu wa kike, ajabu watu walikuwa wanajimwaga tu na kuchekelea.

- Kwenye vigodoro vya kupatia mimba wanafunzi muziki ndio mtawala!
Wenyewe watakwambia shoro mwamba mkali kuliko Nash Mc..anyways inategemea na makuzi
 
Watu wanapoanza kuwa na msongo wa mawazo na akili kuharibikiaa taratibu wanatafuta aina ya miziki inayoendana na kichaa kinachowanyemelea.

Ulaya wana aina ya muziki unaitwa Metal ni kama aina ya rock music. Ule mziki ni mikelele tu hakuna kinachoimbwa ila jamaa wakifanya concert wanamaliza tiketi na wanamashabiki.

Nenda kasilize utasikia wanachosikiliza ni mikelele ile ya kuumiza kichwa kabisa.

Sasa hata hapa naona situation ile ile yaani watu waliovurugwa kimaisha wanasikiliza nyimbo zinazoendana na akili zao.

Huwezi kuta mtu mwenye utulivu wa akili anasikiliza singeli hata siku moja.
 
Naunga mkono hoja,Kuna moja nilisikia tena inapigwa na gari ya matangazo mtaani,eti

"Kudadadeki sikuachi ,Nakupenda wewe na huyo bwana ako",ukisikia huo mdundo sasa..

Nikashangaa sana!!
Hiyo ndo number one trending song kwenye Singeli..

Ujinga mtupu aisee..ila huko uswahilini usipime.
 
Hiyo ndo number one trending song kwenye Singeli..

Ujinga mtupu aisee..ila huko uswahilini usipime.
Huu mziki ukisiliza na watu wazima ni aibu tupu maana hata ukiulizwa maana yake huelewi
 
Majitu yanayoimba singeli na yanayosikiliza singeli ni majitu mapumbavu pumbavu akili kichwani hamna huwezi kuta wa heshima anasikiliza upumbavu kama ule
 
Kudaadeki nakupenda wewe na huyo bwana ako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Moja ya njia ya kujitafutia umasikini ni kusikiliza singeli
 
Ni aina ya mziki nisioupenda kabisa, kwanza, kati ya nyimbo 600+ katika simu yangu, hakuna singeli! Its a shame kuona vijana wa kiume wanabinuka na kubenua makalio! Shame kabisa. Ningekuwa Waziri husika ningepiga marufuku maudhui na uchezaji kala sio mziki wote wa singeli.
 
Back
Top Bottom