Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hawa wapo kimya ila wamejipanga vyema.

Naona wazi akichukua nafasi ya pili.

Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni.

Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au DEBORA fc naona wakishika nafasi ya 6 hata shirikisho hawapendi tena.

Guede , Lyanga, Manura, Mkude,. Moloko na mastaa wengine wako Singida Black star
 
Tatizo ni scavenger, analokota zaloachwa na wenzake
 
Bora huyo Guede ameenda zake. Maana alikuwa ana hatarisha mahusiano yangu na pisi yangu kali kwa jina la ephen_ 🥵 na huko aliko nitahakikisha nako anavungashiwa haraka mikoba yake, msimu ujao.
 
Bora huyo Guede ameenda zake. Maana alikuwa ana hatarisha mahusiano yangu na pisi yangu kali kwa jina la ephen_ 🥵 na huko aliko nitahakikisha nako anavungashiwa haraka mikoba yake, msimu ujao.
Hii bangi ya leo umechambia
Msimu ujao Singida fc tunachukua kikombe cha NBC
Laana ya Guede haitowaacha salama
Utopolo wote🚮
 
Hamchelewi kuhamia Masandawana tena muda si mrefu. Nyie Debora FC endeleeni kuokota kila mwenye dread. Hata mi jana walilazimisha kunisajili kwa kuwa nina dread kichwani.
Joyce alikua Yanga hakusikika MwanaSimba kuwaita Joyce FC. Kwa ushahidi huu ni dhahiri Uto ni akili kisoda sana
 
Siwezi kuwasamehe Yanga kwa kumuacha Guede 😣
Binti pole sana ,usichukie timu yako uipendayo.Mumeo Gwede back yipo NBC premier league utaendelea kumuona,tens safari ukampe kabisa mpododo na mbususu ila usimfanyie ya RC mtuhumiwa
 
Ila Manula, sijui hata amekwama wapii? Kutoka Tz 1 au Air Manula had kujiunga team ya mzee wa Tozo, hii dharau kubwa jamani.

Nakumbuka kuna tetesi zilisemekana alitakiwa South Africa mwaka juzi ile, ila aligomea, km ni kweli bas leo atakua anajutaaa. Lol
 
Back
Top Bottom