Siwezi kuwasamehe Yanga kwa kumuacha Guede 😣Guede , Lyanga, Manura, Mkude,. Moloko na mastaa wengine wako Singida Black star
Mafii YakoNdo ukweli mtani
Huko singida ndio wanampa 35M?Alitaka mshahara mkubwa
Million 35 si hapa mkuu kumpa guede
Tatizo ni scavenger, analokota zaloachwa na wenzakeHawa wapo kimya ila wamejipanga vyema.
Naona wazi akichukua nafasi ya pili.
Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni.
Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au DEBORA fc naona wakishika nafasi ya 6 hata shirikisho hawapendi tena.
Guede , Lyanga, Manura, Mkude,. Moloko na mastaa wengine wako Singida Black star
Hii bangi ya leo umechambiaBora huyo Guede ameenda zake. Maana alikuwa ana hatarisha mahusiano yangu na pisi yangu kali kwa jina la ephen_ 🥵 na huko aliko nitahakikisha nako anavungashiwa haraka mikoba yake, msimu ujao.
Kabla ujamtaja huyo mwamba ...akikisha umekula usije ukazimiaaaaaaaaaaaahDEBORA akiwa kwenye siku zake nani atakamata dimba
Hamchelewi kuhamia Masandawana tena muda si mrefu. Nyie Debora FC endeleeni kuokota kila mwenye dread. Hata mi jana walilazimisha kunisajili kwa kuwa nina dread kichwani.Pension fc 🤣🤣🤣🐸🐸🐸
Joyce alikua Yanga hakusikika MwanaSimba kuwaita Joyce FC. Kwa ushahidi huu ni dhahiri Uto ni akili kisoda sanaHamchelewi kuhamia Masandawana tena muda si mrefu. Nyie Debora FC endeleeni kuokota kila mwenye dread. Hata mi jana walilazimisha kunisajili kwa kuwa nina dread kichwani.
Binti pole sana ,usichukie timu yako uipendayo.Mumeo Gwede back yipo NBC premier league utaendelea kumuona,tens safari ukampe kabisa mpododo na mbususu ila usimfanyie ya RC mtuhumiwaSiwezi kuwasamehe Yanga kwa kumuacha Guede 😣
JoyceDEBORA akiwa kwenye siku zake nani atakamata dimba