Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

Maskini ukipata lazima ututingishie matako...tujue kama malaini.
 
Umenifurahisha sana, kwamba bingwa ni yuleyule anayejulikana sio?
 
Mkude kaondoka Yanga?
 
Tulia tu utasema yote,nakupiga ngao ya jamii unatulia
 
Manula ni azam
 
Ushamba huo..unaacha kufikiria nafasi ya kwanza
 
Joyce alikua Yanga hakusikika MwanaSimba kuwaita Joyce FC. Kwa ushahidi huu ni dhahiri Uto ni akili kisoda sana
Labda JF umejiunga juzi, kuna threads kibao za kejeli mliziandika baada ya utambulisho wa Lomalisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…