Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.