Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

Wanawaacha sana na ilihali wana mechi za kimataifa
Ndo mana nakwambia chunguza timu zingine zinacheza almost kila siku3
1000052750.jpg

Simba na Yanga zimekuwa zinapishana kwa siku moja tu toka ligi imeanza. Sijajua unachoongelea umetolea wapi.
 
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.

NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Simba inunuliwe tu na GSM, maana inaonekana Mwamedi hana kabisa uwezo wa kuishinda Yanga na matawi yake
 
Back
Top Bottom