Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.

NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Tusubiri mchezo hapo saa 10 na dk 15
 
Ibenge aliposemaga anapumzisha wachezaji wake muhimu aliwapumzisha? Vitu vidogo kama hivi sio mpaka uwe na elimu kubwa kuvitambua,,tulia uone kama iyo kauli itakuwa na ukweli tatizo lenu makolo mnakuwa na mchecheto sana ata mtu akijamba kwenu ni stori mnaileta jukwaani!
Aliwapunzisha akiwa ameshafuzu
 
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.

NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Mziki wakienda kimataifa hata wapangiwe na vibonde lazima wapasuke
 
Fresh tu😅😅 halafu sasa uzuri mi sio mbishi tunakaa unanielekeza nakuelekeza afu sio shabiki kahawa

Wachaa Nalipia tu Dstv kifurushi cha 84 na Azam,ni mwendo wa popcorn na kinywaji mnacheki boli weekend inasonga poa,
 
Anacheza singida ila mliaji ni thiiimbaaa
 
Na nyie mnavyopumzishwa msicheze wt kisa Dodoma jiji wamepata ajali mmepewa likizo fupi 😅😅
Hivi kuna watu wanapata hisani kama Wekundu wa Msimbazi? Singida hawana timu ya kuifunga yanga hata wakicheza na First Eleven yote wana makosa mengi sana atleast juzi walibadili mfumo Imoro alijitahidi sana kupush mambo na Rupia akatokea Sub
SBS ni timu ya kuipa changamoto Yanga ila sio ushindi hawana ukali huo labda wapate Kocha wa maana
Aisee....kwa hiyo ulitaka mechi ya Dodoma iendelee halafu mje kusema Simba imependelewa kwa kuchezeshwa na waathirika wa ajali?
 
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.

NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.

HIYO MBINU TUNAIJUA
 
Mm najua Hapo ni YANGA A na YANGA B.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Baada ya ratiba ya dodoma match itakayofata mlipangiwa mcheze lini
Kwa hiyo unataka timu zishtukizwe tu kucheza na Simba kisa kuwafurahisha nyie? Hivi unadhani Simba ilifurahi kukaa wiki nzima bila kucheza?
 
Walitakiwa kucheza tena tarehe 19??
Nimegundua mechi ya Namungo haikuwa hata kwenye ratiba ya mwezi February.

Simba siyo Yanga inayopenda kukaa bila kucheza. Ingekuwa TFF wanaipendelea Simba kwa kuifanya ikae bila kucheza, wangeiacha hadi 24/02 kucheza na Azam.
 
Wanawaacha sana na ilihali wana mechi za kimataifa
Ndo mana nakwambia chunguza timu zingine zinacheza almost kila siku3
 
Back
Top Bottom