Yaani bila shaka wewe ni simba fc πTimu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Yanga ilihonga baadhi ya wachezaji wa Simba kwenye hiyo mechi,ndo maana Manula anakula benchi hadi leo,Inonga akauzwa,Chama akapotezewa hadi akaondoka nwenyewe Simba na kujiunga na timu iliyomhongaKwani 5imba ilipopigwa 5 na Yanga, na kila siku inavyofungwa na Yanga je Mastaa wa Simba huwa wanacheza?
Ibenge aliposemaga anapumzisha wachezaji wake muhimu aliwapumzisha? Vitu vidogo kama hivi sio mpaka uwe na elimu kubwa kuvitambua,,tulia uone kama iyo kauli itakuwa na ukweli tatizo lenu makolo mnakuwa na mchecheto sana ata mtu akijamba kwenu ni stori mnaileta jukwaani!Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Kumbe mnjambaga mkuu?Ibenge aliposemaga anapumzisha wachezaji wake muhimu aliwapumzisha? Vitu vidogo kama hivi sio mpaka uwe na elimu kubwa kuvitambua,,tulia uone kama iyo kauli itakuwa na ukweli tatizo lenu makolo mnakuwa na mchecheto sana ata mtu akijamba kwenu ni stori mnaileta jukwaani!
Simba iliachana nao na saa hii mpo nao huko wengine weshaanza malalamiko mara wamerushwa sijui wametapeliwa.Kwani 5imba ilipopigwa 5 na Yanga, na kila siku inavyofungwa na Yanga je Mastaa wa Simba huwa wanacheza?
Hapo nyuma mwiko leo wanajipigia tu goli sabaTimu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Na nyie mnavyopumzishwa msicheze wt kisa Dodoma jiji wamepata ajali mmepewa likizo fupi π π
Hivi kuna watu wanapata hisani kama Wekundu wa Msimbazi? Singida hawana timu ya kuifunga yanga hata wakicheza na First Eleven yote wana makosa mengi sana atleast juzi walibadili mfumo Imoro alijitahidi sana kupush mambo na Rupia akatokea Sub
SBS ni timu ya kuipa changamoto Yanga ila sio ushindi hawana ukali huo labda wapate Kocha wa maana
Hakika hii ni yanga b, wanatengeneza sababu ya kufungwa. Match dhidi ya yanga unapumzisha wachezaji muhimu, Tff mnaangalia tu!Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo kwa ajili ya mechi ngumu? Hii inadhihirisha wazi Singida ni tawi la Yanga na wapo kwenye ligi kimkakati ili Yanga ijikusanyie points kirahisi.
Kumbuka ile mechi haikuwa na umuhimu tena kwa ibenge maana ilikuwa tayar keshafuzu kwa hatua inayofuata, pia hakupunzisha wachezaji wote wa kikosi cha kwanzaIbenge aliposemaga anapumzisha wachezaji wake muhimu aliwapumzisha? Vitu vidogo kama hivi sio mpaka uwe na elimu kubwa kuvitambua,,tulia uone kama iyo kauli itakuwa na ukweli tatizo lenu makolo mnakuwa na mchecheto sana ata mtu akijamba kwenu ni stori mnaileta jukwaani!