Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

Tusubiri mchezo hapo saa 10 na dk 15
 
Aliwapunzisha akiwa ameshafuzu
 
Mziki wakienda kimataifa hata wapangiwe na vibonde lazima wapasuke
 
Fresh tu😅😅 halafu sasa uzuri mi sio mbishi tunakaa unanielekeza nakuelekeza afu sio shabiki kahawa

Wachaa Nalipia tu Dstv kifurushi cha 84 na Azam,ni mwendo wa popcorn na kinywaji mnacheki boli weekend inasonga poa,
 
Anacheza singida ila mliaji ni thiiimbaaa
 
Aisee....kwa hiyo ulitaka mechi ya Dodoma iendelee halafu mje kusema Simba imependelewa kwa kuchezeshwa na waathirika wa ajali?
 

HIYO MBINU TUNAIJUA
 
Mm najua Hapo ni YANGA A na YANGA B.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Baada ya ratiba ya dodoma match itakayofata mlipangiwa mcheze lini
Kwa hiyo unataka timu zishtukizwe tu kucheza na Simba kisa kuwafurahisha nyie? Hivi unadhani Simba ilifurahi kukaa wiki nzima bila kucheza?
 
Walitakiwa kucheza tena tarehe 19??
Nimegundua mechi ya Namungo haikuwa hata kwenye ratiba ya mwezi February.

Simba siyo Yanga inayopenda kukaa bila kucheza. Ingekuwa TFF wanaipendelea Simba kwa kuifanya ikae bila kucheza, wangeiacha hadi 24/02 kucheza na Azam.
 
Nimegundua mechi ya Namungo haikuwa hata kwenye ratiba ya mwezi February.

Simba siyo Yanga inayopenda kukaa bila kucheza. Ingekuwa TFF wanaipendelea Simba kwa kuifanya ikae bila kucheza, wangeiacha hadi 24/02 kucheza na Azam.
Wanawaacha sana na ilihali wana mechi za kimataifa
Ndo mana nakwambia chunguza timu zingine zinacheza almost kila siku3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…