Singida Black Stars kupeleka mechi Zanzibar ni dhulma kubwa sana kwa Wanasingida.

Singida Black Stars kupeleka mechi Zanzibar ni dhulma kubwa sana kwa Wanasingida.

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.

Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
 
Safi kabisa. Mashabiki wa mikoani wanafiki sana, Wakicheza Singida na Jkt Tanzania wanaingia mashabiki 15. Wakicheza na Simba au Yanga wanajaa topu kuishangilia timu ya wageni.

Kuleni chuma.
Ila ukiangalia mechi zao huwa angalau wanajitahidi sio kama Prison kule mbeya
 
Mbona hizi raha wanazopata wana Arusha ilipaswa wazipate wana Tanga? Kwanini huwaonei huruma wana Tanga kwa Coastal Union kuamua kuwatosa na kuipeleka mechi Arusha?
Sababu ya coastal ni genuine sana uwanja wao uko kwenye matengenezo tangu ligi isimame tena matengenezo makubwa sana baada ya hapo mkwakwani will never be the same
 
Watarudisha tu uchaguzi mkuu ukikaribia
Wametunyima starehe kubwa sana hasa sisi watu wazima tunakosa kumuona boka live cloutas chota n.k (galacticos wote hatutawaon@)
 
Mechi hii ni mkakati wa Mwigulu kuiuza Singida Black Stars ifungwe.Mwigulu ni mojawapo wa wazee wa Baraza la Udhamini la Yanga na ni yeye ndio Mwenye timu ya Singida Black Stars.Analipa mishahara anasajili na anapeleka wachezaji anaona wanafaa kutoka Singida Yanga.Mfano Abuye.
TFF wapo kimyaa hawaoni conflict of interest.Mmiliki wa timu awe kwenye Baraza la Udhamini wa timu nyingine na zote zipo kwenye ligi moja.It just happens in Tanzania.
 
Msiwe na haraka kila timu itafungwa na Yanga
 
Sidhani ,kama ni mkakati wafungwe hata pale liti wangeweza kufungwa bila shida
Hii dhana mi naipinga sana hao Singida kidogo watuondoe kwenye FA msimu uliopita hakuna Cha Mwigulu hivi Wala Mwigulu vile
 
Hivi Yusuf Kagoma Katokea timu gani? Na kwanini Yanga hawakupewa kipaumbele zaidi kumchukua Yusuf Kagoma dhidi ya Simba? Wewe ni zwazwa unaongea hisia zaidi. Mechi ya Federation cup nusu fainali, Yanga chupu chupu itolewe ngoma imeenda hadi kwenye mikwaju ya penati. Acha maneno ya vijiweni
Watu wanaongea sana hisia wakati Kila team yanga ameifunga tena zingine goli nyingi sana eg simba na Azam ndani ya mda mfupi yanga kazifunga kuliko team nyingine yoyote
 
Back
Top Bottom