Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Ile mechi ya Fountain Gate ilifanyika Liti au Manyara uwanja wa nyumbani wa Fountain Gate?Ndio sababu zilizotolewa lakini mechi dhidi ya Namungo na Singida Fountain zilichezewa hapo hapo. Msemaji alidai eti waliogopa utafungiwa.Kama umetimiza masharti dhidi ya Namungo na Singida Fountain na haukufungiwa?
Mpira wa Tanzania una siasa sana.Yale yale ya jmsimu uliopita mechi ya Tabora United Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ukafungiwa mechi ikachezwa Dodoma na baada ya mechi timu zingine zikachezea uwanja huo kama kawaida.