Wanazipenda simba na yanga izo zamikoani mwao ni by the way. Hii adhabu wangefanya timu zote za ligi kuu hawa mashabiki mandazi wangetia akiliSafi kabisa. Mashabiki wa mikoani wanafiki sana, Wakicheza Singida na Jkt Tanzania wanaingia mashabiki 15. Wakicheza na Simba au Yanga wanajaa topu kuishangilia timu ya wageni.
Kuleni chuma.