Ulitaka muwe mnafungwa peke yenu tu?? Simba bhana mnamivu kwa timu zingine hamtaki kabisa tuzifungeWanataka kufungwa huku wanasikia raha.
Hiyo siyo mechi ni sinema
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ila ukiangalia mechi zao huwa angalau wanajitahidi sio kama Prison kule mbeyaSafi kabisa. Mashabiki wa mikoani wanafiki sana, Wakicheza Singida na Jkt Tanzania wanaingia mashabiki 15. Wakicheza na Simba au Yanga wanajaa topu kuishangilia timu ya wageni.
Kuleni chuma.
Sababu ya coastal ni genuine sana uwanja wao uko kwenye matengenezo tangu ligi isimame tena matengenezo makubwa sana baada ya hapo mkwakwani will never be the sameMbona hizi raha wanazopata wana Arusha ilipaswa wazipate wana Tanga? Kwanini huwaonei huruma wana Tanga kwa Coastal Union kuamua kuwatosa na kuipeleka mechi Arusha?
Kumbuka kwa Sasa hii ndio Derby Singida hajapoteza mechi hadi Sasa na Wana kocha mwenye historia ya ushindiWanataka kufungwa huku wanasikia raha.
Hiyo siyo mechi ni sinema
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Coastal hawajawatosa wana Tanga. Uwanja wa Mkwakwani haujachezwa mechi yeyote ya ligi msimu.Unafanyiwa ukarabati mkubwa.Mbona hizi raha wanazopata wana Arusha ilipaswa wazipate wana Tanga? Kwanini huwaonei huruma wana Tanga kwa Coastal Union kuamua kuwatosa na kuipeleka mechi Arusha?
Wanataka utamu wapate peke yaoUlitaka muwe mnafungwa peke yenu tu?? Simba bhana mnamivu kwa timu zingine hamtaki kabisa tuzifunge
Msiwe na haraka kila timu itafungwa na YangaMechi hii ni mkakati wa Mwigulu kuiuza Singida Black Stars ifungwe.Mwigulu ni mojawapo wa wazee wa Baraza la Udhamini la Yanga na ni yeye ndio Mwenye timu ya Singida Black Stars.Analipa mishahara anasajili na anapeleka wachezaji anaona wanafaa kutoka Singida Yanga.Mfano Abuye.
TFF wapo kimyaa hawaoni conflict of interest.Mmiliki wa timu awe kwenye Baraza la Udhamini wa timu nyingine na zote zipo kwenye ligi moja.It just happens in Tanzania.
Sidhani ,kama ni mkakati wafungwe hata pale liti wangeweza kufungwa bila shidaMechi hii ni mkakati wa Mwigulu kuiuza Singida Black Stars ifungwe.Mwigulu ni mojawapo wa wazee wa Baraza la Udhamini la Yanga na ni yeye ndio Mwenye timu ya Singida Black Stars.Analipa mishahara anasajili na anapeleka wachezaji anaona wanafaa kutoka Singida Yanga.Mfano Abuye.
TFF wapo kimyaa hawaoni conflict of interest.Mmiliki wa timu awe kwenye Baraza la Udhamini wa timu nyingine na zote zipo kwenye ligi moja.It just happens in Tanzania.
Watu wanaongea sana hisia wakati Kila team yanga ameifunga tena zingine goli nyingi sana eg simba na Azam ndani ya mda mfupi yanga kazifunga kuliko team nyingine yoyoteHivi Yusuf Kagoma Katokea timu gani? Na kwanini Yanga hawakupewa kipaumbele zaidi kumchukua Yusuf Kagoma dhidi ya Simba? Wewe ni zwazwa unaongea hisia zaidi. Mechi ya Federation cup nusu fainali, Yanga chupu chupu itolewe ngoma imeenda hadi kwenye mikwaju ya penati. Acha maneno ya vijiweni