Wanazipenda simba na yanga izo zamikoani mwao ni by the way. Hii adhabu wangefanya timu zote za ligi kuu hawa mashabiki mandazi wangetia akiliSafi kabisa. Mashabiki wa mikoani wanafiki sana, Wakicheza Singida na Jkt Tanzania wanaingia mashabiki 15. Wakicheza na Simba au Yanga wanajaa topu kuishangilia timu ya wageni.
Kuleni chuma.
Mmiliki wa Singida ambaye pia ni mjumbe wa wadhamini wa Yanga anatoa amri tu.Huamini ngojea mechi. Hakuna mmiliki wa timu akawa kiongozi kwenye timu pinzani kwenye ligi moja isipokuwa Tanzania.Watu wanaongea sana hisia wakati Kila team yanga ameifunga tena zingine goli nyingi sana eg simba na Azam ndani ya mda mfupi yanga kazifunga kuliko team nyingine yoyote
Mechi waliyoihamisha ni vs Yanga tu, zilizobaki zote zitapogwa singida.Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.
Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
Huko uto wenye akili bado ni wawili ? Unaelewa maana ya Derby?Kumbuka kwa Sasa hii ndio Derby Singida hajapoteza mechi hadi Sasa na Wana kocha mwenye historia ya ushindi
Sawa ila Kuna team zingine nyingi zimebaki Mo azimiliki mbona itakuwa sawa kabisaMmiliki wa Singida ambaye pia ni mjumbe wa wadhamini wa Yanga anatoa amri tu.Huamini ngojea mechi. Hakuna mmiliki wa timu akawa kiongozi kwenye timu pinzani kwenye ligi moja isipokuwa Tanzania.
Uwanja wa Mkwakwani unafanyiwa ukarabati mkubwa, Coastal hawakuwa na namna.Mbona hizi raha wanazopata wana Arusha ilipaswa wazipate wana Tanga? Kwanini huwaonei huruma wana Tanga kwa Coastal Union kuamua kuwatosa na kuipeleka mechi Arusha?
Team za mikoani ziwe na muendelezo wa kutosha zitajenga mashabiki ila kwa Sasa ukweli mchungu ndio huo kuwa Simba na yanga zina base kubwa na hii imetokana na muendelezo waoWanazipenda simba na yanga izo zamikoani mwao ni by the way. Hii adhabu wangefanya timu zote za ligi kuu hawa mashabiki mandazi wangetia akili
Hamna shida...Mechi na Yanga
Ni timu ya wananchi wa Singida au ni mali ya mtu binafsi?Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.
Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.
Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
Ni kweli simba na yanga zina muendelezo. Maana tokea miaka ya 1930 wamekutana na changamoto za kutosha ila wamekomaa mpaka lei wapo. Timu za mikoani nyingi zimekufa sababu ya kushindwa kukabiliana na changamoto hasahasa za kiuchumiTeam za mikoani ziwe na muendelezo wa kutosha zitajenga mashabiki ila kwa Sasa ukweli mchungu ndio huo kuwa Simba na yanga zina base kubwa na hii imetokana na muendelezo wao
Hata Pan afrika ingekuwa na muendelezo mbona ingekuwa nao
Yusuf Kagoma katokea Singida Fountain sio Singida Black Stars.Sijui nani zwazwa sasa.Singida Fountain mmiliki wake ni mwingine wala hawachezei Uwanja wa Liti Singida bali uwanja wa Kwara Babati ManyaraHivi Yusuf Kagoma Katokea timu gani? Na kwanini Yanga hawakupewa kipaumbele zaidi kumchukua Yusuf Kagoma dhidi ya Simba? Wewe ni zwazwa unaongea hisia zaidi. Mechi ya Federation cup nusu fainali, Yanga chupu chupu itolewe ngoma imeenda hadi kwenye mikwaju ya penati. Acha maneno ya vijiweni
Singida Black Stars uwanja wao wa Liti utakuwa kwenye matengenezo.Sababu ya coastal ni genuine sana uwanja wao uko kwenye matengenezo tangu ligi isimame tena matengenezo makubwa sana baada ya hapo mkwakwani will never be the same
Msimu uliopita Simba ilipeleka mechi yake dhidi ya Yanga Morogoro.Mechi hii ni mkakati wa Mwigulu kuiuza Singida Black Stars ifungwe.Mwigulu ni mojawapo wa wazee wa Baraza la Udhamini la Yanga na ni yeye ndio Mwenye timu ya Singida Black Stars.Analipa mishahara anasajili na anapeleka wachezaji anaona wanafaa kutoka Singida Yanga.Mfano Abuye.
TFF wapo kimyaa hawaoni conflict of interest.Mmiliki wa timu awe kwenye Baraza la Udhamini wa timu nyingine na zote zipo kwenye ligi moja.It just happens in Tanzania.
Ndio sababu zilizotolewa lakini mechi dhidi ya Namungo na Singida Fountain zilichezewa hapo hapo. Msemaji alidai eti waliogopa utafungiwa.Kama umetimiza masharti dhidi ya Namungo na Singida Fountain na haukufungiwa?Singida Black Stars uwanja wao wa Liti utakuwa kwenye matengenezo.
Ndiyo sababu ya kupeleka mechi Zanzibar.
Mechi ya Yanga dhidi ya Simba ilichezwa Morogoro????Au unajaribu kutafuta justification isiyoeleweka.Msimu uliopita Simba ilipeleka mechi yake dhidi ya Yanga Morogoro.
Itakuwa Mo kiongozi wa Yanga, alitaka Simba ifungwe na ikafungwa.