Singida Black Stars kupeleka mechi Zanzibar ni dhulma kubwa sana kwa Wanasingida.

Ile mechi ya Fountain Gate ilifanyika Liti au Manyara uwanja wa nyumbani wa Fountain Gate?
 
Mechi ya Yanga dhidi ya Simba ilichezwa Morogoro????Au unajaribu kutafuta justification isiyoeleweka.
Jambo la msingi timu iliyo bora itashinda uwanja wowote mechi ikichezeshwa vizuri.
 
Ile mechi ya Fountain Gate ilifanyika Liti au Manyara uwanja wa nyumbani wa Fountain Gate?
Ndio tatizo la kutofuatilia.Mechi ilichezwa uwanja wa CCM Liti Singida.
 
Safi kabisa. Mashabiki wa mikoani wanafiki sana, Wakicheza Singida na Jkt Tanzania wanaingia mashabiki 15. Wakicheza na Simba au Yanga wanajaa topu kuishangilia timu ya wageni.

Kuleni chuma.
Hili nalo neno
 
Jambo la msingi timu iliyo bora itashinda uwanja wowote mechi ikichezeshwa vizuri.
Basi hamna haja ya kucheza nyumbani na ugenini. Mechi zitachezeshwa vizuri na marefa gani?Uliangalia mechi jana Sheikh Amri Abeid Arusha?
 
Sababu waliyotoa Haina mashiko mi naamini wamekusudia kutunyima burudani walima alizeti
 
Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.

Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
Wanaopeleka mechi za Tanganyika Nchini Zanzibar ni Wahuni waliolenga kuhujumu Wananchi.

Tushaandika humu mara kadhaa kuhusu uhuni huu wenye msukumo wa kisiasa
 
Basi hamna haja ya kucheza nyumbani na ugenini. Mechi zitachezeshwa vizuri na marefa gani?Uliangalia mechi jana Sheikh Amri Abeid Arusha?
Coastal Union walikuwa nyumbani lakini.
 
Wanaopeleka mechi za Tanganyika Nchini Zanzibar ni Wahuni waliolenga kuhujumu Wananchi.

Tushaandika humu mara kadhaa kuhusu uhuni huu wenye msukumo wa kisiasa
Peleka uharo huko.Usifikiri kila jambo ni siasa.Ficha ujinga wako sio kila unachokisoma ni siasa zako za majitaka.
 
Utake Usitake hayo mambo ni siasa za kishenzi za wanaokulipa, Uliona wapi mambo hayo?
 
Utake Usitake hayo mambo ni siasa za kishenzi za wanaokulipa, Ukiona wapi mambo hayo?
Jifunze hata kuandika.Sio kila jambo ni siasa wewe zwazwa.Hapa kuna timu inafanyiwa mazingira mazuri ya kushinda ili isisafiri kwa basi kwani Singida hakuna uwanja wa ndege kubwa.It has nothing to do with your petty thinking.
 
Kusafiri kwa basi mbona hoja nyepesi sana maana kutoka Arusha kwa bus kwenda Singida ni robo siku unakuwa tayari umetufikia kuanzia Sasa hatutaenda uwanjani kuwashangilia big stars
 
Uamuzi mzuri abaki na timu yake na, timu ya roho yake.
 
Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.

Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
Wataipata tu, kwasababu makolo watachezanaye singida.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Chunga mimba isitoke.Sio kwa obsession hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…