ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga
Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata na kutaka ati bahari ihamishiwe Singida na awe anaishi hotelini
SWALI: kisheria ipoje Crown FM kuhoji upande mmoja na kutangaza taarifa za kupotosha