Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga

Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata na kutaka ati bahari ihamishiwe Singida na awe anaishi hotelini

SWALI: kisheria ipoje Crown FM kuhoji upande mmoja na kutangaza taarifa za kupotosha
Hivi hiyo Crown FM inasikika mikoa mingapi nchini?
 
Barua haina tarehe, Yaan hovyo hovyooo
Alafu hawa wanajikorogo kabisa. Sasa unasema kuwa ko ha hana vigezo vya kuwa head coach au assistant, so ninkwamba wao hawajui qualifications zilizopo kuhusiana na mako ha wakigeni? Huu ninuzembe kwa upande wao management.

Pili wao si walitoa statement wakati uchebe anaondoka singida. Kulikuwa na sababu gani ya kuandika haya mambo mengine. Easily wangesema kuwa tayari kla u ilishatoa msimamo wake toka awali hayo mengine ni maoni binafsi ya uche hivyo kama klabu huna ulazima wakunibu maoni
 
Kumbuka bodi ya ligi walitoka maelekezo kipindi Singida BS wameshamsajiri Aussems

Walivomfukuza hawakuweka sababu
Kwa ajili ya kulinda heshima na makubaliano Yao hawakutaka kuweka public

Sasa kwakuwa coach amewachafua wametoka hadharani kujisafisha kama taasisi
 
Bado inaonyesha kiwa sie tunafanya kazi kimazoea na kwa uzembe mkubwa sana.
Sawa bodi ya ligi ha ligi walitoa hiyo taarifa baadae lakini huyu ni expat hivyo kabla ya kutolewa work permit nchi inapaswa kujiridhisha kuwa hamna raia mwenye qualifications alizo nazo jamaa ndio permit itoke na wao ndio walitakiwa kucross check na bodi ya ligi kuhusu hozo qualifications za kocha.

Na ata kama kuna kuwa na mabadiliko inashangaza kwamba umeenda kuchukuwa kocha ambae hata minimum qualification ya kuwa assistant kwenye ligi yako hana. Still huo ni uzembe tuu.
 
Kumbuka bodi ya ligi walitoka maelekezo kipindi Singida BS wameshamsajiri Aussems

Walivomfukuza hawakuweka sababu
Kwa ajili ya kulinda heshima na makubaliano Yao hawakutaka kuweka public

Sasa kwakuwa coach amewachafua wametoka hadharani kujisafisha kama taasisi
Na hao bodi ni wazembe pia. Changes za requirements mpya za qualifications unatoa mapema sio eti msimu unakaribia kuanza ndio unasema. Mbona tunashindwa kijifunza kwa wenzetu?

Give people atleast six months notice.
Inakuwa sawa na lile suala la kwamba eti oh lazima kila timu iwe na wachezaji wawili from u20. Unaleta hilo jambo just wiks before ligi kuanza, huko ni kufanya kazi bila weledi. Inaonyesha mnakurupuka tuu
 
Hawa wameamua kuwa Timu ya hovyo ili kulinda maslahi ya Yanga..,Na huyo HERSI Kwa misimu 3 amekuwa akifaidika na madhaifu ya viongozi wa Simba wa wakati huo kina Try Again hasa kwa kunusa mapendekezo ya sajili zao na kuchelewa kufanya maamzi mfano AUCHO,MAX,AZIZ KI,MUDATHIR...Sasa MODEWJI karudi kila pendekezo mahili linafanyiwa kazi...Soon huyo HERSI mtamkataa
 
Unaumwa
 
Back
Top Bottom