Singida Black Stars Yamuachisha kazi kocha wake Patrick Aussems na Msaidizi Denis Kitambi

Singida Black Stars Yamuachisha kazi kocha wake Patrick Aussems na Msaidizi Denis Kitambi

Hapa ukweli ni kuwa sio matokeo team ineshindwa kumlipa kocha huyo ndiyo ukweli

Hawawezi kumtimua kisa matokeo wakati takwimu zake ziko vizuri
 
Hivi ni kweli kwa timu kama hii na kwa ilipofika ndio pa kumtimua kocha?

Screenshot_2024-11-25-21-05-12-1.png

Sijawahi kuona timu inatimua kocha aliyeipa mafanikio
 
Uchaguzi mkuu mwakani Madelu anarudisha pesa zake jimboni! Hakuna hela
 
Mpira wa tanzania bado tia maji tia maji hata hawa caf wanaosema ligi yetu ni ya sita kwa ubora sijui wanatumia kigezo gani ku ipandisha hii ligi
Ujakutana na vituko ligi ya Misri waliokuzidi,Afrika vituko ni kila sehemu
 
Mpira wa tanzania bado tia maji tia maji hata hawa caf wanaosema ligi yetu ni ya sita kwa ubora sijui wanatumia kigezo gani ku ipandisha hii ligi
Kweli aisee!yaani huwa najiuliza kama sisi wa 6,hizo za 20,,30,40,50 zikoje🥺
 
Tuheshemu maamuzi ya Singida BS .Mbona Simba walimtimua Benchika wakati alimaliza ligi akiwa wa pili ???
Acheni ushabiki maandazi.Timu zina malengo yake si ushindi tu ndimani kuna vingine pia.
 
Singida Black Stars ni wapuuzi, wameona timu yao imeporomoka kutoka nafasi ya kwanza hadi ya nne wakaamua kuwafukuza makocha wao kizembe. Kwa mtindo huo watafukuza makocha wengi sana ndani ya msimu mmoja
 
Back
Top Bottom