Singida Black Stars Yamuachisha kazi kocha wake Patrick Aussems na Msaidizi Denis Kitambi

Singida Black Stars Yamuachisha kazi kocha wake Patrick Aussems na Msaidizi Denis Kitambi

Tuheshemu maamuzi ya Singida BS .Mbona Simba walimtimua Benchika wakati alimaliza ligi akiwa wa pili ???
Acheni ushabiki maandazi.Timu zina malengo yake si ushindi tu ndimani kuna vingine pia.
Naona shabiki kitumbua unamwaga data
 
Shida ni kwamba, waliowekeza wanataka mafanikio ya moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom