M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Nov 29, 2024 #41 Benderea said: Tuheshemu maamuzi ya Singida BS .Mbona Simba walimtimua Benchika wakati alimaliza ligi akiwa wa pili ??? Acheni ushabiki maandazi.Timu zina malengo yake si ushindi tu ndimani kuna vingine pia. Click to expand... Naona shabiki kitumbua unamwaga data
Benderea said: Tuheshemu maamuzi ya Singida BS .Mbona Simba walimtimua Benchika wakati alimaliza ligi akiwa wa pili ??? Acheni ushabiki maandazi.Timu zina malengo yake si ushindi tu ndimani kuna vingine pia. Click to expand... Naona shabiki kitumbua unamwaga data
De Opera JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 780 Reaction score 1,664 Nov 29, 2024 #42 Shida ni kwamba, waliowekeza wanataka mafanikio ya moja kwa moja.