MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 642
- 1,294
Hatuna wachezaji,ukiondoa wa Simba na Yanga unabakia na hamna .Tanzania kuna wachezaji wengi wazuri, tumekosa mfumo wa kuwatambua na kuwaendeleza.
Hatuna uhaba na hili la kuwapa uraia ni kuthibitisha ubutu wetu.
Kama uko Dar hudhuria Ndondo Cup mara mojamoja ukaone vipawa vikubwa kwenye soka.Hatuna wachezaji,ukiondoa wa Simba na Yanga unabakia na hamna .
Hawa Simba na Yanga kwasababu wanakutana na watu wenye uwezo zaidi yao katika vilabu vyao
Tunaomba picha ya Victoria Adebayo, tutakuwa tunamuita "Viki"😅😅😅Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie.
Josaphat Arthur Bada (22) ni kiungo raia wa Côte d'Ivoire amewahi kuichezea klabu ya ASEC Mimosas na timu ya taifa Ivory Coast chini ya miaka 23
View attachment 3210353
Emmanuel Keyekeh (27) kiungo mkabaji raia wa Ghana alijiunga na Singida Big Stars akitokea FC Samartex ya ligi kuu ya nchini kwao.
View attachment 3210354
Pamoja na Mohamed Damaro (22), kiungo mkabaji raia wa Guinea ambaye pia ni mchezaji wazamani wa timu ya taifa chini ya miaka 18.
View attachment 3210380
==
View attachment 3210345
View attachment 3210383
Huyu jamaa kwa sasa nadhani ana nguvu isiyo ya kawaida kwenye hii nchi.Mwigulu mwigulu mwigulu
ScarfaceMoney, power, respect.
Anatisha kwa kweliHuyu jamaa kwa sasa nadhani ana nguvu isiyo ya kawaida kwenye hii nchi.
Wanyiramba hao,boss kubwa mnyirambaKwahiyo wanakuwa kabila gani?
Niliiona hiyo taarifa nikasikitika sana. Kwa hiyo gharama zote hizo zinatumika kutengeneza noti mpya kisa kubadili sahihi za Gavana na Waziri! Aiseee....
Kibu kabla ya kuja kucheza Simba alishachezea timu mbili tofauti, alipokuja Simba ndio swala lake la uraia likaibuka. Wakati huo alikuwa ameitwa timu ya taifa kwa hiyo maswala hayafanani.Ili kukidhi takwa la kikanuni la kuwa na wachezaji 12 wa kigeni watakaotumika ligi kuu Tanzania bara
Singida Black Star wamelazimika kuwapambania wachezaji wanne wa kigeni ili wapate uraia wa TANZANIA na kupata hadhi ya idadi ya kutumika katika ligi kuu
Tukumbuke pia Kibu Denis ambaye alikuwa raia wa Burundi alipewa uraia ili atumike Simba Sports club
Wachezaji hao ni
1. Emmanuel Keyekeh- Ghana
2. Josephat Arthur Banda- Ivory Coast
3. Mohamed Damaro - Guinea
4. Marouf Tchakei - Togo
Tukumbuke Kuna mechi Singida Black Star walichezesha wachezaji wote wa kigeni isipokuwa goal keeper Mnata, hapa wadau wa soka tulijiuliza kuhusu kanuni ya wachezaji wa kigeni hatukuwa na majibu
Labda hawa wachezaji walipatiwa uraia kimya kimya na nyaraka zipo tFF
Uraia wa TANZANIA umekuwa rahisi kupatikana namna hii,
Yaani sijui walipima vigezo Gani kuwapa wachezaji uraia na kazi Yao ni ya muda mfupi