Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Imefanyaje😃😃,Embu chukua uraia WA Kenya tuoneSasa kama nchi imefunguka tusemeje...yani iko waziiii
Kama uwezo utaridhishakwahiyo hawa jamaa wataitwa Taifa stars?
Malizia naona unasema nusu,robo robokUna wakati nahisi dereva wa hili gari kalala. Hivi uraia wa Tz ni rahisi tu, na taasisi husika wapo tu. Wanazijua historia za hao watu na kujiridhisha. Umaskini mbaya sana hasa wa fikira.
Binadamu wote ni Sawa na Afrika ni Moja
Kidumu chama
Zidumu fikra sahihi
Wanaweza wakawa a kawaida, ila wakawa na commitment na nidhamuBinafsi huwa nahisi sometimes kwa hizi timu kusajili wachezaji wa kigeni ni kama fashion na ulimbukeni..
Mostly ya hao wachezaji niwakawaida sana.
Hii ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa Umma.Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie.
Josaphat Arthur Bada (22) ni kiungo raia wa Côte d'Ivoire amewahi kuichezea klabu ya ASEC Mimosas na timu ya taifa Ivory Coast chini ya miaka 23
Soma pia: Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi
Emmanuel Keyekeh (27) kiungo mkabaji raia wa Ghana alijiunga na Singida Big Stars akitokea FC Samartex ya ligi kuu ya nchini kwao.
Pamoja na Mohamed Damaro (22), kiungo mkabaji raia wa Guinea ambaye pia ni mchezaji wazamani wa timu ya taifa chini ya miaka 18.
==
View attachment 3210345
View attachment 3210383
Na hao jamaa watapewa passport bila usumbufu wowote ule kabla hata ya wazawa walianza kutafuta passport 🛂 tangu mwezi wa 5 mwaka jana.. nchi ya kiseenge sana hiiWw mtanzania tafuta passport ya kwenda nje sasa ndo utawajua uhamiaji,,,,lkn kwenye issues za hovyo at mtu anapewa uraia kabisaaa,,,,maajabu hayaishi tz
Yeye ndio mtunza kibunda na deals zote lazima zipitie kwake, Abdul mwenyewe akitaka kuchukua Hela lazima apitie kwake...!!Huyu jamaa kwa sasa nadhani ana nguvu isiyo ya kawaida kwenye hii nchi.
Simba ilimsajili kibu akitokea timu gani?Tangazo la Kibu Denis uliona wapi kabla/baada ya kubadili uraia ili kuitumikia Simba SC na Taifa Stars?
Wanalegeza spanaWakati marekani trump anapiga spana huku shamba la bibi watu wana legeza masharti
Tanzania ili utoboe ni juhudi zako mwenyewe siyo kupitia mifumoTanzania kuna wachezaji wengi wazuri, tumekosa mfumo wa kuwatambua na kuwaendeleza.
Hatuna uhaba na hili la kuwapa uraia ni kuthibitisha ubutu wetu.
Simba nayo imethibithisha kuwa wachezaji wake 9 wa kigeni wameomba uraia wa TanzaniaSingida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie.
Josaphat Arthur Bada (22) ni kiungo raia wa Côte d'Ivoire amewahi kuichezea klabu ya ASEC Mimosas na timu ya taifa Ivory Coast chini ya miaka 23
Soma pia: Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi
Emmanuel Keyekeh (27) kiungo mkabaji raia wa Ghana alijiunga na Singida Big Stars akitokea FC Samartex ya ligi kuu ya nchini kwao.
Pamoja na Mohamed Damaro (22), kiungo mkabaji raia wa Guinea ambaye pia ni mchezaji wazamani wa timu ya taifa chini ya miaka 18.
==
View attachment 3210345
View attachment 3210383
🤣🤣🤣Malizia naona unasema nusu,robo robo
Unasomaga magazeti?Hii taarifa ina ukakasi. Ninanvyojua kubadili uraia kunaambatana nakutoa tangazo gazetini ili wenye mapingamizi wayawasilishe. Je lini matangazo ya hao wachezaji kuomba uraia kwa waziri wa mambo ya ndani yametolewa kwenye vyombo vya habari ?
Anyway kama imefanyika kinyemela basi hapo kuna pointi za bure na hiyo timu itaenda kushuka daraja hasa kama itashinda mechi zote au moja dhidi ya kurwa na doto wa Kariakoo.
Tatizo hilo...Tanzania ili utoboe ni juhudi zako mwenyewe siyo kupitia mifumo
Hapa wenye passport utachoka, sema inaonekana mmiliki wa hii team yuko wizaraniWw mtanzania tafuta passport ya kwenda nje sasa ndo utawajua uhamiaji,,,,lkn kwenye issues za hovyo at mtu anapewa uraia kabisaaa,,,,maajabu hayaishi tz