Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Singida umewahi kufika?Unajenga uwanja wa mpira wa viwango vya kimataifa katika mji ambao hamna hata uwanja wa ndege. Tanzania tumebarikiwa vingi ila tumenyimwa viongozi.
Vilabu vidogo vinapata pesa za kujenga viwanja halafu Simba na Yanga ni kupiga madomo tu.Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi uzinduzi wa uwanja wao mpya wa kisasa unaoitwa Airtel Stadium, uliopo katika eneo la Mtipa, mkoani Singida.
View attachment 3272415
Uzinduzi wa uwanja huo mpya wa klabu hiyo utafanyika Machi 24, 2025, mkoani Singida, ambapo watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Wananchi, Yanga SC.
"Airtel Stadium ni sehemu ya dhamira ya Singida Black Stars ya kuwekeza katika maendeleo ya michezo kwa kutoa mazingira bora kwa wachezaji, mashabiki, na jamii kwa ujumla. Uwanja huu umejengwa kwa viwango vya kimataifa na unatarajiwa kuwa kitovu cha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa," imeeleza taarifa ya klabu hiyo.
TAARIFA YA SINGIDA BS
View attachment 3272413
Serikali ya sisiem watapataje hela😂Vilabu vidogo vinapata pesa za kujenga viwanja halafu Simba na Yanga ni kupiga madomo tu.
Binafsi naona kama hivi vilabu vinafanyiwa figisu ili visije kujitegemea na waendelee kuvitumia kwa manufaa yao ya kisiasa. Ila pia hao SBS siyo mfano mzuri, kuna viashiria visivyo visafi kuhusiana na hii timu.Vilabu vidogo vinapata pesa za kujenga viwanja halafu Simba na Yanga ni kupiga madomo tu.
Sema unachotaka kusemaSingida umewahi kufika?
Ila Singida ni hovyo sana. Hata Hotel za Wageni wa Kimataifa hakuna. Mjini Singida kumekaa kama kijijini fulani hivi. Nenda mitaa ya Ginery utajionea ubovu wa mji wa Singida.Sema unachotaka kusema
Mawazo yako yako sahihi kabisa! Kuna kitu kiko nyuma ya pazia ambacho wengi yawezekana hatukijui.Binafsi naona kama hivi vilabu vinafanyiwa figisu ili visije kujitegemea na waendelee kuvitumia kwa manufaa yao ya kisiasa. Ila pia hao SBS siyo mfano mzuri, kuna viashiria visivyo visafi kuhusiana na hii timu.
Sema kuna watu mnapenda sana mikoani kuendelee kubaki vile vile miaka na miaka. Maendeleo yanaanza na hatua moja.Unajenga uwanja wa mpira wa viwango vya kimataifa katika mji ambao hamna hata uwanja wa ndege wa kupokea ndege kubwa hata za safari za ndani. Tanzania tumebarikiwa vingi ila tumenyimwa viongozi.
Huna akili!Unajenga uwanja wa mpira wa viwango vya kimataifa katika mji ambao hamna hata uwanja wa ndege wa kupokea ndege kubwa hata za safari za ndani. Tanzania tumebarikiwa vingi ila tumenyimwa viongozi.
Haujanielewa. Ningekuwa na mtazamo huo nisingepinga uamuzi wa kujenga uwanja Arusha ambao binafsi naamini ulitakiwa upelekwe Mwanza, Mbeya au hata Morogoro.Sema kuna watu mnapenda sana mikoani kuendelee kubaki vile vile miaka na miaka. Maendeleo yanaanza na hatua moja.
Acha mtu aendeleze nyumbani kwaoUnajenga uwanja wa mpira wa viwango vya kimataifa katika mji ambao hamna hata uwanja wa ndege wa kupokea ndege kubwa hata za safari za ndani. Tanzania tumebarikiwa vingi ila tumenyimwa viongozi.
Singida BS ni mali ya Mwigulu Nchemba. Na Mwigulu Nchemba ni Waziri wa Fedha. Na Waziri wa fedha ndio mlinzi wa Hazina yetu. Pia SBS na Airtel ndio wameshirikiana kujenga uwanja.Vilabu vidogo vinapata pesa za kujenga viwanja halafu Simba na Yanga ni kupiga madomo tu.
Jitahidi wakati mwingine kuwa mpole. SBS makao yake yapo Singida! Na mmiliki wake anafahamika. Sasa ulitaka wajenge uwanja wao Morogoro, Mbeya, nk kwa utaratibu upi?Haujanielewa. Ningekuwa na mtazamo huo nisingepinga uamuzi wa kujenga uwanja Arusha ambao binafsi naamini ulitakiwa upelekwe Mwanza, Mbeya au hata Morogoro.
Arusha imeendelea zaidi ya mikoa hiyo ila kuna vigezo vingine ambavyo vinavibeba mikoa hii kupata uwanja mpya wa kisasa kabla ya Arusha.
Nazungumzia uwanja wa Arusha unaojengwa na Serikali. Nimetoa maelezo hayo kumuelezea huyo aliyesema wengine tunataka mikoa ibaki ilivyo. Ukisoma vizuri utaelewa msingi wa maelezo yangu.Jitahidi wakati mwingine kuwa mpole. SBS makao yake yapo Singida! Na mmiliki wake anafahamika. Sasa ulitaka wajenge uwanja wao Morogoro, Mbeya, nk kwa utaratibu upi?
Nenda acha kusimuliwa, tembea uoneSema unachotaka kusema