Pre GE2025 Singida: DED azuia Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu, Mwenyewe apinga asema lazima Ufanyike au la Patachimbika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
30 Mei 2024
Singida, Tanzania


Mkuu wa Mkoa wa Singida,Mh Halima Dendego akiandishika kero za wananchi katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM ambao umefanyika leo Ijumaa, katika Uwanja wa Bombadia, Manispaa ya Singida.

 
Kumbe mambo yameanzia huku. Mkurugenzi anatimiza amri tu!
Hawa watu wana hofu kubwa sana safari hii, na bado.
 
Ina maana manispaa ya Singida ina mkurugenzi mwehu? Huyo mkutugenzi lazima ni punguani. Rais Samia anawaokota wapi punguani wa kiwango hiki halafu anawapa mamlaka makubwa?

Nawapnea huruma wanaSingida, maana kwa kuwa na mkurugenzi punguani kama huyo, ni kikwazo kwa maendeleo ya mji wao.
 
vyeo vya koneksheni
 
Peopleeesssssssss....
 
Na sasa bado mambo ni yale yale, wanatamani kusema ni JPM ila ndo hvy wanashindwa.
Ukweli ni kwamba wana nafuu kuliko wakati ule, angekuwepo yule bwana hata hiyo mikutqno ambayo wamekwisha fanya wasingeweza
 
Sijui ilikuwaje vyeo vya DED kupewa makada wakati ni vyeo vya kiutendaji na sio vya kisiasa kama DC
 
Analia nini sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…