Pre GE2025 Singida: DED azuia Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu, Mwenyewe apinga asema lazima Ufanyike au la Patachimbika

Pre GE2025 Singida: DED azuia Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu, Mwenyewe apinga asema lazima Ufanyike au la Patachimbika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jina lenyewe DED kutakuwa na akili kwel hapo
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana na Chadema
Kwani JPM alikuwa ni mnani? Si lilikuwa ni li -CCM kama yalivyo ma - CCM mengine?

Matendo ya ma - CCM yote yanalingana. Mtoto wa shetani hawezi kugeuka kuwa malaika!

Hakuzingiziwa. Ndivyo alivyokuwa, na haya mengine yaliyohai yaliyobaki ndivyo yalivyo.

Generally speaking;, rushwa, ufisadi, power abuse, wizi na yafananayo na hayo ni utamaduni wa ma - CCM yote na hurithisha hadi watoto wao wa kizazi kimoja kwenda kingine!
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani.

Taratibu zote zimekamilishwa na kwamba Polisi wameahidi kutoa ulinzi , lakini cha ajabu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Mjini amejitokeza jioni hii kutoa Tangazo la kusitisha Mkutano huo kinyume cha Sheria za nchi, bila sababu yoyote zaidi ya ile ya "MNANIJUA MIMI NANI"

Hata hivyo Tundu Lissu amepinga vikali Upuuzi huo wa DED na kuamuru Magari ya matangazo kuendelea na kazi, huku akiwaomba wananchi kuhudhuria kwa wingi bila uoga wowote ule maana uwanja wa Stendi ya zamani ni mali ya umma, huku akisisitiza kuwa wako tayari kwa lolote.

DED ana mamlaka Gani kuzuia mkutano? Ni mjinga
 
Kwani JPM alikuwa ni mnani? Si lilikuwa ni li -CCM kama yalivyo ma - CCM mengine?

Matendo ya ma - CCM yote yanalingana. Mtoto wa shetani hawezi kugeuka kuwa malaika!

Hakuzingiziwa. Ndivyo alivyokuwa, na haya mengine yaliyohai yaliyobaki ndivyo yalivyo.

Generally speaking;, rushwa, ufisadi, power abuse, wizi na yafananayo na hayo ni utamaduni wa ma - CCM yote na hurithisha hadi watoto wao wa kizazi kimoja kwenda kingine!
Kwahy kumbe yale matukio mliokuwa mkiyalalamikia hayakufanywa na JPM moja kwa moja kama nlivokuwa mnasema?
 
Propaganda za mtaa wa Lumumba ofisi ndogo ya CCM kueneza habari kuwa CHADEMA hakuko shwari, sasa wanaogopa nini hawa makada wakurugenzi wa wilaya DED ?
Hawaiogopi CHADEMA wanamuogopa Lissu
 
Huyo DED gani wa hovyo hivyo?! Jukwaa la Wananchi sio mali yake.
Mambo ya DED yanapingana na sera ya chama cha CCM kwa sasa na anayofanya yamepitwa na wakati. RC Singida Mjini chukua hatua kitanuka na kuchafua sura ya mkoa na 4R
 
JPM alikataza kabisa mikutano ya siasa kufanyika, Lissu hajakatazwa mkutano ila kabaniwa uwanja. Ni mambo mawili tofauti kabisa. JPM alikua zaidi ya ibilisi
Vp khs kufuatiliwa kama alivyosema
 
Vp khs kufuatiliwa kama alivyosema
Unajua sikuelewi? Kwamba kama JPM alimtumia wahuni kumuua Lissu basi Samia naye akituma watu inabadili nini kuhusu JPM? kwamba hakutuma wahuni?

So zaidi ya kusema JPM alisingiziwa ungesema Samia naye anarudia ya JPM!! ila sio opposite.
 
Ila huwa nashindwa kuelewa wanasiasa wa upinzani kwani huwa hawawezi kuuza sera zao bila kuitukana na kuikejeli CCM serikali iliyo madarakani? Mbona nikifuatilia maneno yao wakati mwingine wanakosa staha?
 
Kabisa na mpka ikafika hatua wakashangilia kifo cha JPM hadharani as if wao wataishi milele
Pumbav mmempeleka akhera wenyewe leo mnakimbilia kuilaumu chadema majambazi wakubwa nyie! Kwan mlitumwa na cdm kuondoa uhai wa yule bwana?
 
Back
Top Bottom