Singida Fountain Gate wanawatuhumu TFF na Bodi ya Ligi kwa kupewa refa huyu

Singida Fountain Gate wanawatuhumu TFF na Bodi ya Ligi kwa kupewa refa huyu

Maumivu ya IHEFU tukijua yatapoa kwa prozoni ikashindikana, tukaweka matumaini Singida nako ikashindikana sasa ni vilio tu
 
Weka mistari parallel to goal lines. Hiyo picha iko haijanhyooka. Mshika kibendera anawezamuona forward wa Singida kuliko beki wa Simba.
Unakumbuka goal la Boko Mbeya? Picture ilionesha Boko kama yuko offside ilipowekwa mistari na Azam kukawa na beki wa Prison aliyemuweka Boko inside
 
MASHANGAZI WA IHEFU MNA MALALAMIKO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Tutaendelea kulalamika hadi pale watakapoacha kuibeba hii timu ya kuonewa huruma na waamuzi kwa maelekezo.
Simba kuonekana anashinda mechi zake wala hakuzitishi timu kubwa kama Al ahly kipigo kipo palepale oct.20 timu bovu linashinda kwa mchongo shame on you TFF.
Hayo matoto ya wasimbe yanarukaruka tu uwanjani lakini yanashinda kwa mchongo.
Haikuwa kazi nyepesi kufunga timu tatu kwa mpigo. . Yanga + Fountenigate + singida big star.

Na bado hamjasema , hadi mseme
20231008_191739.jpg
 
Mama Samia njoo utusaidie.
Haiwezekani Simba iongoze ligi, Pia Baleke aongoze kwa ufungaji magoli wakati hawachezi soka safi kama Yanga.

Hatumtaki Karia, tunataka GSM iwe inalipia posho za marefarii wote, Pia Coast union, Namungo na IHEFU zote ifadhiliwe na GSM ili kusiwe tena na timu zenye chembechembe za usimba.
 
Ilikuwaje future fc wakawafunga, siku mkicheza na Yanga hata hamjitumi kwa kifupi mtapigwa Sana na hamtapata hata nafasi ya nne.
 
Watu bana, ishu ni uhalali wa goli la Simba Vs Singida…!!! Ila humohumo analetwa GSM, Namungo, Geita, Ihefu, Yanga etc.

Ishu ni kwamba ni goli halali au sio halali, baaasi…!! Hata kama tutakubali HALIKUWA HALALI, hakuna ambaye atarudisha hzo point 3. Hyo tayari imeenda…!!!
 
Hv ambaye Huwa anatafsiri hii ni offside au siyo ni refa au mshika kibendera? Nachojua kwenye ishu ya offside refa hufuata maelekezo ya mshika kibendera so nilitegemea lawama angetupiwa zaidi mshika kibendera kuliko refaree. Naona lawama hizi hazina msingi kama lawama inatupiwa zaidi kwa refaree kuliko linesman
 
Hivi anayetakiwa kuiona offside kikamilifu huwa ni refa wa kati au mshika kibendera?
 
Kutoka magazetini
 

Attachments

  • 398FCBEF-3E98-4E82-B6E0-B0B1CA11D4EB.jpeg
    398FCBEF-3E98-4E82-B6E0-B0B1CA11D4EB.jpeg
    1.6 MB · Views: 2
Tutaendelea kulalamika hadi pale watakapoacha kuibeba hii timu ya kuonewa huruma na waamuzi kwa maelekezo.
Simba kuonekana anashinda mechi zake wala hakuzitishi timu kubwa kama Al ahly kipigo kipo palepale oct.20 timu bovu linashinda kwa mchongo shame on you TFF.
Hayo matoto ya wasimbe yanarukaruka tu uwanjani lakini yanashinda kwa mchongo.
Na bado,mtaendelea kulalamika mpaka mnye
 
Back
Top Bottom