Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Yaaani hapo baaaado.Chakushangaza mada kama hizi kuna shabiki andazi linakuja kutukana badala ajikite kwenye uhalisia au kama unashindwa kaa kimya. Kuliko kuja na commrent za ajabu kama vile kilichotokea ni sawa kwakua imekua favor kwa timu yako. Idiots