Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ameshtakiwa kwa makosa yapi!?View attachment 1398910
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema , amefikishwa mahakamani mjini Singida kwa kosa la kufichua orodha ya watu waliouwa kikatili na taarifa zao kufichwa na polisi
View attachment 1398908
Ni kweli mafunzo ya ccm ya kukata mitama wazee ni mazuri sanaCHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.
inakuja mkuuAmeshtakiwa kwa makosa yapi!?
unaweza ku upload hati ya mashtaka....
tunataka kuona...
Haya mambo ndio huwa yanafanya mkuu wa nchi kila siku anashangaa juu ya wapelezi wetu na waendesha mashitaka. Mtu alichapisha orodha ya watu aliodai wamechinjwa kwa ishu zinazohusiana na siasa. Polisi wanasema sio kweli mauaji hayo yana mambo mengi ikiwemo wivu wa mapenzi na uhalifu ,sasa bado wanapeleza nini?Upelelezi umekamilika?
Haya mambo ndio huwa yanafanya mkuu wa nchi kila siku anashangaa juu ya wapelezi wetu na waendesha mashitaka. Mtu alichapisha orodha ya watu aliodai wamechinjwa kwa ishu zinazohusiana na siasa. Polisi wanasema sio kweli mauaji hayo yana mambo mengi ikiwemo wivu wa mapenzi na uhalifu ,sasa bado wanapeleza nini?Upelelezi umekamilika?
Kama alivyofundwa makonda na kuwa kiongozi bora!kweli wasingekuwa wanafikishwa mahakamani kila kukicha.CHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.
CHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.
Hukusikia maneno ya katibu wako mkuu wa chama kule kilimanjaro kwenye mazishi ya Mengi?Au ni kujitoa ufahamu?Alisema Makonda ni zao la mfumo mbovu wa kuandaa viongozi vijana CCM!Sasa wewe unaropoka nini?CHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.