Singida: Godbless Lema afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, asomewa mashtaka 15

Jamaa kawa mdogo kama piriton,si alitaka kutunisha misuri
 
Kama kwa kesi hii Mh. Lema hatafungwa kwa zaidi ya miaka mitano, sheria zetu na wasimamizi wake watakuwa ni watu dhaifu sana.
 
Huwa nakufikiria kama mtu mwandishi wa habari makini, mrembo (kama kweli ni msichana), ila habari huwa unaleta nusu nusu. Leta kabisa na charge sheet!
Ukiweza leta na hukumu ya akina Mbowe..103 pages..
 
Kusababisha taharuki! Na kupotosha jamii! Lugha za kisiasa zinafanywa na DPP! Inawezekana ameandikiwa na CCM.
 
TUSIINGILIE MUHIMILI WA MAHAKAMA. TUACHE UFANYE KAZI ZAKE.
OVA
 
Mweee yani thread ya corona nimefungua inanileta huku........sielewi......moderator imekuaje thread ya corona ya international forum huko inanileta huku
 
Bashite amesomea chuo gani?
CHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.

In God we Trust
 
Yaani nchi inaendeshwa kwa kutumia faini za mahakamani. Hii ni aibu
 
Huwa sipendi dhulma na kuonewa kwa mtu yoyote, Lema anachoniudhi ni kuwa ni kiburi na mtu anaye dhulumu watu haki zao, na anatabia ya kusingizia watu maovu anayoyafanya yeye.

Kwa hili la Singida alikosea sana na yote hiyo ni kujifanya yuko zaidi ya sheria. Kama mwanasiasa alitakiwa kuwashirikisha police na kuwapa majina hayo, sasa hapo polisi wasingechukua hatua yoyote basi angeliweka wazi na umma ungeona uovu wa polisi.

Mimi ni mwana ccm mpenda haki kwa wote, nimechangia mchango wa wabunge wa chadema wa juzi juzi, na pia mchango wa Lissu kama mtanzania mpenda haki, na mpinzani ni ndugu yangu na sio aduo yangu. Lakini lema akihukumiwa sitamchangia, kwani kafanya kosa kubwa sana.

IGNORANCE OF THE LAW HAS NO DEFENSE



Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.
Inamaana huoni magufuli anawachukua na kuwapa uteuzi, au auishi Tanzania
 
CHADEMA wangekuwa na makambi ya kufunza na kutayarishi wanachama wake kuwa viongozi bora na wanaofuata siasa Safi kama ilivyo kwa CCM, matatizo haya ya mashtaka ya Mara kwa Mara kwa wapinzani yangekwisha. Ni mtazamo wangu.
Kwa Bashite ni Miongoni mwa Vijana waliotayarishwa kwenye Makambi ya CCM sio ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Niliwahi kuambiwa na wakili mmoja wa Serikali kuwa ukiona yamerundikwa makosa menhi kwa mtuhumiwa, ujue mtuhumiwa huyo ameonewa. Akasem kuwa mara nyingi kama kuna kosa thabiti, makosa huwa hayazidi 5, na yoye yanakuwa yanayoelekeana na kosa la msinhi. Ukiona yanazidi 5, mtuhumiwa hana kosa bali ni kwaajili ya kumsumbua na kumkomoa.

Alichokifanya Lema ni jambo 1 tu kuwaeleza watu juu ya watu waliouawa. Unatarajia habari hiyo iwe ya kweli au ya uwongo. Hutegemei kitendo hicho pekee kitengeneze makosa 15.

Wanasheria wetu wanaendesha mambo kijanja kijanja na kitapeli. Ndiyo maana wakienda mahakama za nje ambako watu ni makini, huwa hawashindi kesi.

Kama ni kutoa taarifa za uwongo, wangempeleka na RPC aliyesema kwamba aliyekuwa ameuawa hakuwa kiongozi wa CHADEMA.
 
Lema ni mpuuzi, sometimes kick zake za kingese sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…