Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
FB_IMG_1677960957892.jpg
 
Msimamo wa serikali uko valid hadi sasa "Hongera".

Mama Samia au Magu (R.I.P) ndo seeikali yenyewe ila tukiwavua robes zao za siasa/userikali tukawabakiza na robes zao za uzazi.Unafikiri mama Samia au Magu au Kikwete kuna anayetamani hata kuota tu kuwa mtoto wake kawa kama wewe?

Yawezekana umezaliwa hivyo ila umezaliwa na tatizo,ni sawa na unazaa mtoto kipofu au una utindio wa akili au ana jinsia mbili.Kama mzazi kitakuuma maisha yako yote.

Jishaue hapa JF ila kafanyie haya mashauzi yako kariakoo ndo utajua wewe sio wa kawaida mzee mwenzangu
Wewe cocastic jibu paragraph ya pili hapo
 
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.

Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?

Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?

Nini maoni yako msomaji.
View attachment 2537492
Duh, kazi kweli kweli! Hilo shirika la Masista watakuwa wanasapoti mambo ya kihayawani! Kutakuwa na mradi wamepokea fedha za mashoga na masagaji siyo bure!
 
Huo ni ujinga. Huwezi acha kitu chako kisa mwingine anakitafairi tofauti. Kila mtu ana tafsiri yake kwa jambo lake.
Huo ni ujinga. Huwezi acha kitu chako kisa mwingine anakitafairi tofauti. Kila mtu ana tafsiri yake kwa jambo lake.
Ujinga ni nini?
kila mtu na tafsiri yake lakini tafsiri inayojulikana na watu wengi hiyo ndio tafsiri yenye mashiko
 
Kama Lengo ni peace hayo marangi rangi ya nini? Si wangeweka bendera nyeupe yenye maneno meusi? Hapo kuna namna tu wanapromote Ukokastiki na Udelishazi.
 
NAPINGA.
Mnatamani iwe hivyo ila hata huko uzunguni halijawezekana bado.

Mtakua really proud siku ambayo jamii zote dunian zitawachukukulia kama watu wa kawaida.Hiyo siku kama itakuja kufika generation yangu mim na wewe itakua ishakufa siku nyingi sana.Mtapata haki zote kisheria ila ambacho hamtakaa mpate mpaka siku yako ya kufa ni KIBALI CHA JAMII.Huko Uzunguni WAMESHAZOELEKA ILA BADO HAWAJAKUBALIKA.

Hizo events zenu sijui clubs na kujichangaja na Vigogo haamaanishi MMEKUBALIKA NA WATU WA KAWAIDA.

Unajua ni kwanini Gay clubs na sehemu za starehe maalum kwa Gays zinapewa ulinzi mkali huko Majuu kuliko sehemu za watu straight?

Broh hiyo hali yako ni ugonjwa.Badala ya kupewa haki ilitakiwa wanasayansi wawatafutie tiba.
Najua sio kosa lako ila nisamehe bure.
Uncle cocastic haya jibu prgph ya pil kutoka mwisho.
 
Duh, kazi kweli kweli! Hilo shirika la Masista watakuwa wanasapoti mambo ya kihayawani! Kutakuwa na mradi wamepokea fedha za mashoga na masagaji siyo bure!
Hapana
Ile bendela ya pale Makiungu ni bendela ya Rastaferians.
Mwanzilishi wa huduma hiyo alikuwa Rasta.
Ni kwamba wanamuenzi tu.
Pesa Kwanza.
 
You know what SIKUPENDI japo sio kosa lako wewe kuwa ulivyo.
You are a CURSE.

And you know what again!?
HOMOSEXUALITY WILL NEVER BE NORMAL popote ulimwenguni.

Unajua ni kwanini bado kuna Gay parades et al huko developed countries pamoja na kuwa ni miaka mingi sasa tokea gay community ipate haki yake?

Unajua ni kwanin STRAIGHT PEOPLE hawana STRAIGHT PEOPLE PARADES kwa ajili ya kutetea haki ya kuwa straight au ku raise awareness ya issue yeyote kuhusu gender yao.?

Unafahamu ni kwanini pamoja na haki zote walizopewa huko nchi zilizoendelea ila IDADI YA GAYS WANAOJIUA NI KUBWA?

Unafahamu ya kwamba sio Africa tu bali hakuna sehemu yeyote duniani ambako kuna jamii inayowaona kuwa Gays ni BINADAMU WA KAWAIDA?
Yes kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kuona midume miwili yenye sharubu ikila denda hadharani au ikitomasana tomasana hadharani au ikafunga ndoa na kuish kama mke na mke au mume na mume ila ukweli unabaki pale pale kuna wazungu wenzao wanawachukia na wanawawinda kuwaua.

Najua kuna mnaozaliwa na matatizo ya kiufundi mnakua hivyo,wengine mnajifunzia mashuleni,wengine njaa zinawaponza nk. na ninajua kuwatukana au kuwachukia kama ninavyowachukia ni kuwaonea ila ukweli unabakia pale pale YOU PEOPLE ARE NOT NORMAL AND WILL NEVER BE NORMAL NOR HAPPY.

POLENI KWA MATATIZO
cocastic naomba unijibu haya maswal yangu hapa then tufunge uzi kama unavyotaka
 
Wakati wa OSMAN BEY sidhani kama wangebaki mashoga hapa duniani,,, dunia ingelikua sehemu salama, hata huyo aliesimamisha flag hiyo angejutia alichokifanya

Mama atoe tamko haraka, na kama atalikalia kimya basi waislamu na wasio waislamu tuandamane kupiga vita huu uchafu usiompendeza Mwenye enzi Mungu
 
You know what SIKUPENDI japo sio kosa lako wewe kuwa ulivyo.
You are a CURSE.

And you know what again!?
HOMOSEXUALITY WILL NEVER BE NORMAL popote ulimwenguni.

Unajua ni kwanini bado kuna Gay parades et al huko developed countries pamoja na kuwa ni miaka mingi sasa tokea gay community ipate haki yake?

Unajua ni kwanin STRAIGHT PEOPLE hawana STRAIGHT PEOPLE PARADES kwa ajili ya kutetea haki ya kuwa straight au ku raise awareness ya issue yeyote kuhusu gender yao.?

Unafahamu ni kwanini pamoja na haki zote walizopewa huko nchi zilizoendelea ila IDADI YA GAYS WANAOJIUA NI KUBWA?

Unafahamu ya kwamba sio Africa tu bali hakuna sehemu yeyote duniani ambako kuna jamii inayowaona kuwa Gays ni BINADAMU WA KAWAIDA?
Yes kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kuona midume miwili yenye sharubu ikila denda hadharani au ikitomasana tomasana hadharani au ikafunga ndoa na kuish kama mke na mke au mume na mume ila ukweli unabaki pale pale kuna wazungu wenzao wanawachukia na wanawawinda kuwaua.

Najua kuna mnaozaliwa na matatizo ya kiufundi mnakua hivyo,wengine mnajifunzia mashuleni,wengine njaa zinawaponza nk. na ninajua kuwatukana au kuwachukia kama ninavyowachukia ni kuwaonea ila ukweli unabakia pale pale YOU PEOPLE ARE NOT NORMAL AND WILL NEVER BE NORMAL NOR HAPPY.

POLENI KWA MATATIZO
Halafu sikuchukii tena!
Kukuchukia haitafanya ubadilike.
Ila napenda tujadili hili swala bila chuki labda naweza nikakubadilisha au nikajifunza kitu kutoka kwako kitakachosaidia kulinda watoto wangu.
 
Kanisani sadaka kibao

jf mambo ni mengi

Totally confused
 
Kumekuchaaaaaaah
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji626][emoji626]

Inapepea hapo Makiunguu. Hayaa wapingaji uchwaraaa tokeni kupinga au mkashushe bendera pale, km kweli mko serious.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtabaki kulia kwaa Keyboard, na badooo mnavojifanyaa kupiga kelelee, ndo na wao wanazidi kuwaonesha hadharani.

Mwenye nguvu ndo atajulikana sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halllah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
PEACE [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
4 life forever [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
Bila shaka wewe ni bwabwa aka papai unapumuliwa na kidume mwenzako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom