Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

Najiuliza, hivi haliwezekani mabendera yao tukayaweka, >>ili kuchukuwa fedha zao lakini tukasimamia maadili yetu?<</ya kitanzania kwamba jambo hili ni NO kwa tanzania.
Wakati dunia ikienda na yake sisi watanzania tuna costumes zetu, taratibu zetu na mila zetu za jadi, zinazokataza mambo haya, hivyo twendeni na costumes zetu, katika kitu hakizuiliki duniani ni kuzuia tamaduni za Jamii fulani.
 
Umemaliza kila kitu..
 
Hiyo bendera iangalie vizuri.
Kama rangi nyekundu ndio iko juu Basi Ni ya LGBTQ.
Kama rangi nyekundu iko chini Basi hiyo Ni bendera ya amani. Peace. Hiyo hapo Ni ya amani.
 
Hiyo sio bendera ya LGBTQA ya kwao ina strip sita hii ina strip saba pia ya kwao kwa juu inaanza na rangi nyekundu juu inamalizia na purple ! Ila hii inaanza na rangi ya Purple ! Hii ni bendera ya Amani !
 
Nitumie location nakuja fasta kuishusha kama mbwaimbwai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…