Singida: Jela miaka 30 kumbaka mtoto wake wa kumzaa

Siwezi kuhukumu maanake sijui kama ni kweli ama siyo kweli..mshitakiwa mpaka anapewa hukumu alikuwa bado anakana kutenda kosa...yawezekana hata ikawa mtoto amepangwa na wahuni kumnyoosha mshua wake...ila duniani kuna mengi...
 
Sperms zinapimwa kitaalam.
Sasa Dr. Mzima na Digrii yake, baba wa watu, wala hakujui hata ulivyo, eti akubambikie kesi. Kwa interest ipi?
 
Sperms zinapimwa kitaalam.
Sasa Dr. Mzima na Digrii yake, baba wa watu, wala hakujui hata ulivyo, eti akubambikie kesi. Kwa interest ipi?

hapo issue imeanzia kwenye kutengana kwa baba na mama wa mtoto soma alama za nyakati tumeona mengi ...
 
Aisee kumbe
 
Hii kesi ya kubambikizia ningekuwa Rais ningewatoa jela watu wote wanaonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…