Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Huu ni utafiti tu ambao sio rasmi kuwa Singida ndio kati ya mikoa ambayo ni sawa na jangwa yaani kama umeenda kutafuta maisha jiandae kurudi kwenu na gari la msiba,kuna uhaba wa pesa hata vichaa huwawezi kuwaona Singida mjini ila nipazuri kama umeenda na mtaji lkn sio pazuri kwenda kutafuta mtaji!