Singida, kama umeenda kutafuta maisha jiandae kurudi kwenu

Singida, kama umeenda kutafuta maisha jiandae kurudi kwenu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Huu ni utafiti tu ambao sio rasmi kuwa Singida ndio kati ya mikoa ambayo ni sawa na jangwa yaani kama umeenda kutafuta maisha jiandae kurudi kwenu na gari la msiba,kuna uhaba wa pesa hata vichaa huwawezi kuwaona Singida mjini ila nipazuri kama umeenda na mtaji lkn sio pazuri kwenda kutafuta mtaji!
 
Kheri kufia vitani kuliko kumkimbia adui.
"Nakuja Singida kutafuta Mtaji"
 
Inawezekana hilo migodi ipo singida kwanini isiwe sehemu ya kutfutia msingi?
 
Una uhakika,ktk miji,inayokua kwa kasi ni Singida,tena ukuaji naturally sio wa kubebwa na matukio au kama Dodoma,au Mtwara,Singida ni mkoa was wachapa kazi nenda vijijini Iramba uone maendeleo ys kasi,umeme unakaribia 60% ,unataka mini zaidi....,linganisha hali ya maisha ya watu MF.ea Iramba na Mikoa kama Lindi,Tanga,Moro,Tabora,Kagera nk
..ni tofauti kubwa



Acha kukariri
 
Na hapo ndipo mwisho wa utafiti wako usio rasmi na hakuna nilichojifunza
Karibu tena Sgd
 
Back
Top Bottom