OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4.
Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto akachezee Yanga licha ya kusajiliwa Singida, tunajenga mashaka kwamba ule ushindi ulijaa maelekezo toka ngazi za juu.
Tunajua hakuna Mamlaka ya kufuatilia nyendo za waziri huyu kwa kuwa yupo juu ya sheria, ila tunamuonya aache mara moja tuharibu maisha ya watu na kutuharibia mpira wetu