OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wata kama hawa ni wakupuuzwa tu wasikupote zee mda. Simba kupigwa na Mayele 2 ni maagizo ya nani?Na vipi kuhusu prison unayoijua wewe kula 7?
Achana na Tahaira la umbumbumbuni ilo alijielewi tokea lini mvuta unga akawa na akili timamu kichwaniNa vipi kuhusu prison unayoijua wewe kula 7?
View attachment 2463672View attachment 2463672
Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4.
Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto akachezee Yanga licha ya kusajiliwa Singida, tunajenga mashaka kwamba ule ushindi ulijaa maelekezo toka ngazi za juu.
Tunajua hakuna Mamlaka ya kufuatilia nyendo za waziri huyu kwa kuwa yupo juu ya sheria, ila tunamuonya aache mara moja tuharibu maisha ya watu na kutuharibia mpira wetu
Prison waliahidiwa 30m na ndgu wa GSMNa vipi kuhusu prison unayoijua wewe kula 7?
Mayele Alivyowapiga Mbili Kwenye Ngao Ya Jamii, Yalikuwa Ni Maelekezo Kutoka Wapi?
Mmeshinda goli 7 na ligi mmeongoza au sio, Watu wanacheza mpira kwa mahesabu makali we baki kuhesabu magoli ya mteremko wenzako wanahesabu vyote point 3 na magoli mwisho wa siku boya litajulikana ni lipiKwani baada ya uto kufunga zile goli nne kwa Singida, lini tena wamewahi kufunga magoli manne?!
Hao Singida na mmiliki wao ni Upuuzi FC.
Mliwahadaa kwa ahadi ya milioni 30 wakaja wamekamia mechi kiboya.Na vipi kuhusu prison unayoijua wewe kula 7?
Mganga wenu aliyemroga kocha wa Simba akafanya sub za kijingaWata kama hawa ni wakupuuzwa tu wasikupote zee mda. Simba kupigwa na Mayele 2 ni maagizo ya nani?
Ni kawaida ya vitimu vidogo kupania mechi kubwa kama mlivyopigwa na Ihefu.Simba ndio timu tuliyo iburuza maranyingi zaidi kuliko timu yoyote ya mpira wa miguu apa Tanzania maelekezo uwa yanatoka wapi?
Mmebaki kujificha kwenye kivuli cha ndugu zenu ihefu, Nyie mmeshindwa nini, Subilieni kipigo cha Azam ndo akili itawakaa sawa mkapiganie nafasi ya 3 na geita gold ukoNi kawaida ya vitimu vidogo kupania mechi kubwa kama mlivyopigwa na Ihefu.
Utopolo ni kama Ihefu tu wanapokutana na Simba.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Goli 7 zimewanyima usingizi kabisa..Mmeshinda goli 7 na ligi mmeongoza au sio, Watu wanacheza mpira kwa mahesabu makali we baki kuhesabu magoli ya mteremko wenzako wanahesabu vyote point 3 na magoli mwisho wa siku boya litajulikana ni lipi
Hii hoja ni ya kitoto halafu imeletwa na mtu mzima. Inashangaza mpaka basi kwa nchi yetu kuwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, na kuchanganua mambo kwa weredi.View attachment 2463672View attachment 2463672
Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4.
Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto akachezee Yanga licha ya kusajiliwa Singida, tunajenga mashaka kwamba ule ushindi ulijaa maelekezo toka ngazi za juu.
Tunajua hakuna Mamlaka ya kufuatilia nyendo za waziri huyu kwa kuwa yupo juu ya sheria, ila tunamuonya aache mara moja tuharibu maisha ya watu na kutuharibia mpira wetu
Aisee huyo mwamba anatakiwa aifute ile kauli yake, ili hawa jamaa warudi katika hali zao za kawaida! Maana hilo jina alilowaita, linaendelea kuwatafuna miaka nenda.Refer kauli ya Rage utapata majibu mkuu..