Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

Kwani baada ya uto kufunga zile goli nne kwa Singida, lini tena wamewahi kufunga magoli manne?!

Hao Singida na mmiliki wao ni Upuuzi FC.
Tunachokumbuka ni kilichotokea kule kwenye mashamba ya mpungu
 
Tukiwa na watu kama nyie Tanzania ndio mnafanya tudharauliwe kimataifa kuwa uwezo wetu wa kufikiri haupo Vizuri. Sio sawa kusimama na kudharau timu ya Yanga au Simba wakati ndio vilabu Bora kabisa Tanzania ambapo timu yoyote ikikutana navyo hata ikitoa Droo Inashangilia.
Hebu acha basi ushabiki unaokupekelea utoke nje ya mstari!
 
Muwe mnafanya utani na watu wa level zenu. Madai yasiyokuwa na kichwa au miguu ya namna hii ndio husababisha uongozi wa jamii forums kutumia nguvu za ziada kuwalinda pale vyombo vya dola vinapokuwa vinatafuta watuhumiwa wake. Hatutaki tuanze hashtag za free #Okw Boban Sunzu#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…