Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha wananchi namna ya kulinda rasilimali zao.
Unaambiwa ni hatari! Mikutano inajaa kiasi cha wananchi kulazimika kupanda Juu ya miti ili kumshuhudia Mtu huyu Mfufuka aliyetandikwa zaidi ya risasi 40 na watawala kwa lengo la kumuua bila mafanikio
Maneno matupu hayavunji mfupa