Pre GE2025 Singida: Mikutano ya Tundu Lissu yatikisa. Baadhi ya Wananchi wapanda mitini ili kumuona

Pre GE2025 Singida: Mikutano ya Tundu Lissu yatikisa. Baadhi ya Wananchi wapanda mitini ili kumuona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha wananchi namna ya kulinda rasilimali zao.

Unaambiwa ni hatari! Mikutano inajaa kiasi cha wananchi kulazimika kupanda Juu ya miti ili kumshuhudia Mtu huyu Mfufuka aliyetandikwa zaidi ya risasi 40 na watawala kwa lengo la kumuua bila mafanikio

Maneno matupu hayavunji mfupa

Mwenye picha ya mkutanio wa CUF na Lipumba Iringa 2020 tunaiomba
 
Endeleeni kumsindikiza mwenzenu awe tajiri haya maisha matamu sn ukijua jinsi ya kula na wajinga
 
Back
Top Bottom