Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Picha hizo hapo angalia mwenyewe, uzuri wetu huwa tunaweka habari na vielelezoVipi hakuna aliyebubujikwa na machozi kama kule kwa kina Luka?
Akimaliza awaeleze yaliyomkuta msigwa hana hamu!Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha wananchi namna ya kulinda rasilimali zao...
HakikaA Living Miracle.
Surviving to tell the tale.
umenikumbusha BibliaNa akina Zakayo walikuwepo🙌 hakika hii imeenda
Haya
HayaAkimaliza awaeleze yaliyomkuta msigwa hana hamu!
Hapo ni kijijini hawana umeme, hawana vipaza sauti na sauti ya lisu ni ndogo kutokana na kuwa muda mwingi anakuwa kalewa hivyo kujikuta hata kama anahutubia watu watano basi inabidi wasogelee karibu ndiyo maana wengine wakaona wapande mitini kusikia kisauti chake kidogoNi vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha wananchi namna ya kulinda rasilimali zao...
Sasa unalia nini?Hapo ni kijijini hawana umeme, hawana vipaza sauti na sauti ya lisu ni ndogo kutokana na kuwa muda mwingi anakuwa kalewa hivyo kujikuta hata kama anahutubia watu watano basi inabidi wasogelee karibu ndiyo maana wengine wakaona wapande mitini kusikia kisauti chake kidogo
Mwamna anafyeka kila kitu huko.Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha wananchi namna ya kulinda rasilimali zao.
Unaambiwa ni hatari! Mikutano inajaa kiasi cha wananchi kulazimika kupanda Juu ya miti ili kumshuhudia Mtu huyu Mfufuka aliyetandikwa zaidi ya risasi 40 na watawala kwa lengo la kumuua bila mafanikio
Maneno matupu hayavunji mfupa
Umelaaniwa tangu enzi za jiwe hadi leo bado unatembea n a laana.Hapo ni kijijini hawana umeme, hawana vipaza sauti na sauti ya lisu ni ndogo kutokana na kuwa muda mwingi anakuwa kalewa hivyo kujikuta hata kama anahutubia watu watano basi inabidi wasogelee karibu ndiyo maana wengine wakaona wapande mitini kusikia kisauti chake kidogo
Mbarikiwa ameingia MjiniNa akina Zakayo walikuwepo🙌 hakika hii imeenda
Mbunge anaehusika na hiko kijiji yuko wapi?Hapo ni kijijini hawana umeme, hawana vipaza sauti na sauti ya lisu ni ndogo kutokana na kuwa muda mwingi anakuwa kalewa hivyo kujikuta hata kama anahutubia watu watano basi inabidi wasogelee karibu ndiyo maana wengine wakaona wapande mitini kusikia kisauti chake kidogo