Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Simiyu, Iringa, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Manyara, Tabora, Mbeya n.k.

Point yangu ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida.

Ukibisha bisha kwa facts.

Wale wa picha hio hapo.

Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tu.


images%20(19).jpg
 
Wala usipate shida 2025 kuna uchaguzi tangaza nia ukahamishe Makao mkuu kutoka Dodom mpaka Singida
 
Simiyu,Iringa,Dodoma,shinyanga, Arusha,Manyara, Tabora,Mbeya n.k
Point yangu Ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida
Ukibisha bisha kwa facts
Wale wa picha hio hapo
Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tuView attachment 1770189
Kama kweli hivi. Lakini kwa Tanganyika alichokiasisi Nyerere ni kama msahafu . Mbaya zaidi wananchi hawakuhusishwa, bali kipindi hicho nchi ilikuwa inaongozwa na maazimio.
 
Kilimanjaro ndio mkoa ambao uko juu kabisa Karibu na ikweta katikati ya dunia, hapa ndio makao makuu ya nchi yalitakiwa kuwepo. Mgeni hata akitoka ulaya, Asia au america anawahi kufika hivi kwanini wananchi hatukushirikishwa. Inawezekana hata nauli ya ndege ingepungua😡
 
Back
Top Bottom