Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Ukitegemea kwamba 'mbunye' na 'dushelele' ndio viungo vinapakana na viungo vingine kwa wingi, kwa theory yako basi hivi viungo ndio vingekuwa makao makuu ya mwili badala ya ubongo uliopo kichwani...
 
Angeandika "Singida ni miongoni mwa mikoa inayopakana na mikoa mingi"
 
Kat kat ya Tanganyika au Tanzania?
Nakuunga mkono manyoni ndiyo katikati ya Tz coz kijiji cha suka mahela kilichopo wilaya ya manyoni-Singida, ndipo kilipo kile ki rada kinachoonyesha hapo ni katikati ya Tz na mpaka kukipita hicho kijiji una kimbia kilometer zaidi ya 60 kuifikia Dom.
 
Kwahiyo kigezo cha makao makuu ya nchi kiwe kupakana na idadi kubwa ya mikoa?
 
Back
Top Bottom