Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

Simiyu, Iringa, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Manyara, Tabora, Mbeya n.k.

Point yangu ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida.

Ukibisha bisha kwa facts.

Wale wa picha hio hapo.

Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tu.

View attachment 1770189
Kijiografia Singida sawa, ndiyo iliyo katikati mwa nchi na si Dodoma.

Mantiki ya kuwekwa makao makuu pale Dodoma ilikuwa kwamba ni kati kati ya nchi na si kwa kupakana na wingi wa mikoa ya jirani.
 
Yanii tabora muda wote mji umesinzia
Wahovyo kweli, unaweza kaa sehemu na kuna nyumba za wageni ukatafuta chai kitongoji kizima hakuna kabisa sijui wanaishi vipi wale.
 
Point yake ni kuwa makao makuu ya nchi yalipaswa kuwa Singida ndio mkoa ulio katikati ya nchi, hususani wilaya ya Manyoni
Hapaeleweki acha yawe hapo hapo kwa wagogo
 
Hahaha maduka wanafungua sa tano
Yaani kulikuwa na shughuli tukakaa guest moja tupo wengi sasa asubuhi badala ya kusubilia wenyeji walete chai twendeni tunywe mtaani aise tulikosa
 
Tanzania is a very interesting place to live,

Kila siku wadau wanakuja na lawama mpya,

Hii nchi tusipokuwa makini itagawanywa vipande vipande mpaka vikosekane vipande vya kugawanywa.
 
Ofcourse center hasa ya Tanzania ni Singida. Ishu ya kuwa ama kutokuwa makao makuu ya nchi ni vigezo waalivyoona walioamua , hawakuweka makao makuu Dodoma kwa kigezo kimoja cha kuwa center ya nchi. Tafuta vigezo vilivyotumika
 
Kijiografia Singida sawa, ndiyo iliyo katikati mwa nchi na si Dodoma.

Mantiki ya kuwekwa makao makuu pale Dodoma ilikuwa kwamba ni kati kati ya nchi na si kwa kupakana na wingi wa mikoa ya jirani.
Singida haiko katikati ya nchi

Ukiangalia zile coordinates za pale Manyoni na radius ya kufika Singida ilikua mbali kuliko kufika Dodoma ndo sababu kuonekana Dodoma ni katikati zaidi ya Singida(Dodoma kama mji sio mkoa,Singida kama mji sio mkoa na Manyoni kama mji)
 
Hicho kigezo sikukijua mkuu.
 
Back
Top Bottom