Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

inasemekana zamani Dom na Sgd ilikuwa mkoa mmoja na katikati ya nchi ilikuwa ni Manyoni
Nakuunga mkono manyoni ndiyo katikati ya Tz coz kijiji cha suka mahela kilichopo wilaya ya manyoni-Singida, ndipo kilipo kile ki rada kinachoonyesha hapo ni katikati ya Tz na mpaka kukipita hicho kijiji una kimbia kilometer zaidi ya 60 kuifikia Dom.
 
Nje ya mada ila naka Kilimanjaro kasingefanywa mkoa kangefanywa tu wilaya ya Arusha 😀
 
Sema Kilimanjaro kama sio geographia. Yake na aina ya watu wanaopatikana huko . Haki ungekuwa ni mkoa ulio nyuma sana kimaendeleo .. Mungu alikuwa fundi sana kwa kweli...
 
Nakuunga mkono manyoni ndiyo katikati ya Tz coz kijiji cha suka mahela kilichopo wilaya ya manyoni-Singida, ndipo kilipo kile ki rada kinachoonyesha hapo ni katikati ya Tz na mpaka kukipita hicho kijiji una kimbia kilometer zaidi ya 60 kuifikia Dom.
Uko sahihi, hapo ndio katikati ya nchi
 
Nje ya mada ila naka Kilimanjaro kasingefanywa mkoa kangefanywa tu wilaya ya Arusha 😀

Hata Mwanza ingefaa iwe wilaya miongoni mwa Mikoa mipya ya Geita au Simiyu, sijui Mkoa wa Chato utakapookuja Mwanza watamega nini kwani tayari imeisha
 
Simiyu,Iringa,Dodoma,shinyanga, Arusha,Manyara, Tabora,Mbeya n.k
Point yangu Ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida
Ukibisha bisha kwa facts
Wale wa picha hio hapo
Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tuView attachment 1770189
Centroid ya Tanzania iko mkoa upi?

Abuja ndiko iliko centroid ya Nigeria. I guess Lilongwe too.

[ I declare interest... 😉 ]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…